Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Una mchumba?Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka...
KwaniniNdoto za kuolewa zinasumbuaga hahahah na hasa kama unaona umri unaenda
AmenMwambie Mungu akupe jibu la hiyo ndoto..maana kishetani nacho hakikosagi jambo
ndioUna mchumba?
Je mna mikakati ya kuoana hivi karibuni au haijulikani??ndio
Mikakati haijulikaniJe mna mikakati ya kuoana hivi karibuni au haijulikani??
jamani mnanitishaPole sana, umechumbiwa na jini...
SawaHiyo ni roho ya kizuizi inakufuatilia ili usiolewe, ingia kwenye maombo na uikatae hiyo roho kwenye ulimwengu wa roho, usidharau itakuja kukusumbua baadaye if you don't do so amini kwamba.
NB:mimi kila siku huwa naota nipo primary na nilisha graduate university Toka 2014 kiukweli hakuna kitu kinaenda kwenye maisha yangu mpaka natamani kujitoa uhai ,hizi roho zipo ie spirit of hindrance, backwardness, delay mk.
Kuna vita ya kiroho baina yenu ili mtengane.ndio
Sasa nifanyeje ili kuzuiaKuna vita ya kiroho baina yenu ili mtengane.
Mbona naogopa, kwani umeelewajeWe kuolewa sahau
Omba sana, nenda makanisa ya kiroho...Sasa nifanyeje ili kuzuia