residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Samahani ndugu maliyamtu , makanisa ya kirohoni yapi na makanisa yasiyo ya kiroho ni yapi!!??Fanya maombi sana pata msaada wa mhudumu makanisa ya kiroho. Mahusiano Yako yanaweza kuwa hayatengamai ukijitahid kuyaweka sawa Ili mfike lengo yatakua yanaharibika.
Hii comment ndiyo jibu la swali la mleta uzi.Kuna ndoto za kibinadamu
Kuna ndoto za kimungu na
Kuna ndoto za kishetani.
Kwa wadada kuota ndoto zibazohusiana na uchumba na hharusi mara nyingi ni ndoto za kibinadamu kwani ndilo jambo ambalo mnalitazamia kuliko hata kuja kwa Yesu
Mwombe Yesu Kristo akupe jibu sahihi.Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka.
Naitafuta naipata navaa tena.
Nikijisahau inavulika inadondoka.
Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
Jibu lipi nielekeze vizuri ndugu yanguMwombe Yesu Kristo akupe jibu sahihi.
Ukiona umefika mwezi wa 9 bila mchumba wako kueleweka au kuwa na direction yoyote ile ya ndoa/mahusiano utanicheki PMNimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka.
Naitafuta naipata navaa tena.
Nikijisahau inavulika inadondoka.
Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
mbona sijaelewaC'ssy Heaven Sent please come this way...!!
Kwanini umesema hivi, umejuajeUna mahusiano na mume wa mtu
mchumba wako anafahamu kuwa anamchumba? Au ngoma ndio ipo one wayndio
Ina elekea uko au utakuwa na uhusiano wa kulazimisha na mwishowe utaachwa.Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka.
Naitafuta naipata navaa tena.
Nikijisahau inavulika inadondoka.
Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
Nikupe ushauri.Mikakati haijulikani
Mkuu kwa kifupi huyo mchumba hata muoa na ipo siku huyu binti atakiri hapaKwa mujibu wa biblia ndoto zipo za aina 3
1: ndoto za ki MUNGU
2: ndoto za kishetani
3: ndoto zitokanazo na mawazo yetu ya kila siku
✅️Hiyo ni ndoto inayo tokana na mawazo yako
USHAURI:
Uchumba wako una vita vya kiroho MUNGU kuna jambo anataka kusema na wewe jitahidi kuwa mtu wa maombi huo uchumba uwe na malengo tofauti na hapo ... omba kusudi la hiyo uchumba kwa MUNGU
ha ha ha muache atunze familia yake; huko aliko anawaza namna ya kuweka makazi ya kudumu kwako kutokana na alivyonogewa; ila usiruhusu hilo; we kuwa naye kwa ajili ya kujiliwaza tu.Kwanini umesema hivi, umejuaje
Huyo jini alitumia vigezo gani kumchagua mleta mada??Kwa stori za watu wengi nilizowahi kusikia juu ya ndoto za aina hii (na kama ni kweli)
Kuna uwezekano umechumbiwa /kuolewa na jini tayar.
Kama ni wa imani shika imani yako usali sana na kama ni njia ya kushoto basi ipambanie