Nimeota Yanga kachapwa goli 2 kavu na mwarabu. Natetemeka muda huu

Na siku ukiota umepata mimba na kuzalishwa watoto mapacha, pia uje utuambie. Na uzuri ndoto zako hazidanganyi! kwa hiyo hakuna sababu ya kutuficha.
Bado masaa machache utarudi hapa kuomba radhi.
 
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.

Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Angalia usije ota unakunya kitandani..!! Na hivi umesema ndoto zako haziongopi, sijui..!!!
 
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.

Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Mimi nimeota moja la maudhi
 
Reactions: G4N
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.

Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
You are right chief
 
Reactions: G4N
Unatetemeka hadi makalio kama yule jamaa anaetembea anakata uno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…