- Thread starter
- #21
Bado masaa machache utarudi hapa kuomba radhi.Na siku ukiota umepata mimba na kuzalishwa watoto mapacha, pia uje utuambie. Na uzuri ndoto zako hazidanganyi! kwa hiyo hakuna sababu ya kutuficha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado masaa machache utarudi hapa kuomba radhi.Na siku ukiota umepata mimba na kuzalishwa watoto mapacha, pia uje utuambie. Na uzuri ndoto zako hazidanganyi! kwa hiyo hakuna sababu ya kutuficha.
Angalia usije ota unakunya kitandani..!! Na hivi umesema ndoto zako haziongopi, sijui..!!!Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.
Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Na achapwe tu...
Hivi utopolo wana rekodi yeyeto ya kumfunga mwarabu?
Unapenda sana kuongea kinyume..!!Bado masaa machache utarudi hapa kuomba radhi.
Hii ilikuwa papatu papatu mkuu.View attachment 3205109
Hawa hapa walikuwa wandengereko
Ndoto ya maana sana hiyo na iwe hivyo.1Nimejimwagia mpaka maji baridi lkn bado ndoto inajirudia. Hakika Yanga itafungwa.
Muda ni mwalimu. Tusubiri.Unapenda sana kuongea kinyume..!!
Na asipoota, next time alale na mbolea..!!Huo ndio ukweli wala sio ndoto.
Tunza hii we mwanafunzi wa mudaMuda ni mwalimu. Tusubiri.
Mimi nimeota moja la maudhiNimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.
Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Sawa, walikuwa wandengereko, si waarabuHii ilikuwa papatu papatu mkuu.
Na achapwe tu...
Hivi utopolo wana rekodi yeyeto ya kumfunga mwarabu?
Sasa unayeota ni wewe na unayechukia ni wewe huyo huyo, Yaani mbumbumbu bwana..!!!Mimi nimeota moja la maudhi
You are right chiefNimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.
Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Hii ilikuwa papatu papatu mkuu.
Tunza hii..!!! Ombaomba mna shida sana.Yanga yanga anakufa leo kwa mkapa
Dah mzee una vituko😆Na siku ukiota umepata mimba na kuzalishwa watoto mapacha, pia uje utuambie. Na uzuri ndoto zako hazidanganyi! kwa hiyo hakuna sababu ya kutuficha.
Yanga hachomoki, yaani mwarabu hakubali!Yanga yanga anakufa leo kwa mkapa