Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

Kwani na nyiee kwenye chama chenu siku izi mnakemea ufisadiii??
Tuliachana na hizo ajenda baada ya kumkaribisha lowassa kwenye chama. Sasa hivi tuna ajenda ya katiba na umwisenge peke yake. Tunaangalia maslahi ya chama zaidi kuliko wananchi; wananchi nao wapambane na hali zao.
 
Chadema wameungana na mafisadi kukandamiza wananchi.

Sio watu wa kuwaamini.

Wanawakebehi tu wananchi wapuuzwe.
 
Back
Top Bottom