Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

Niache internet na smartphone si nitakufa njaa 😁

Kwenye vitu vya sukari kama soda hata mimi imefikia stage naweza kukaa miezi sijagusa
 
Soda binafsi nimeweza tangu mwezi wa Saba mwaka huu sijanywa , nilikuwa mlevi wa Pepsi,now hata weight imepungua kidogo....... sukari nimepunguza kwa kiasi kikubwa.....kuna positive changes naziona
Sawa kabisa
 
Kwa Mara ya kwanza nimemaliza 2023 bila kutembea na mwanamke wa nje. Kumbe inawezekana kabisa ukituliza akili yako.
Kwa Mara ya kwanza nimemaliza 2023 bila kugombana au kukwazana na MTU yoyote hata huyu my better half. Haya Mambo yanawezekana kabisa.
Yako mengi lkn hayo ndio makuu.
 
Mwanaume unaposema uache sex nakushangaa sana.

Hizi vitu hatukupewa kama maonyesho, tulipewa vitendea kazi vya kupigia kazi, otherwise ungepewa k tu ili upigwe miti.

Unataka mashine uifungie kabatini kweli? Yaani ni sawa na mwanajeshi kupewa bunduki aingie vitani yeye anaamua kuitupa ama kuitelekeza atembee mikono mitupu.

Mwanaume unafungiaje mb.oo kwenye kabati?

On the other hands, nawashukuru sana wanaume kama nyie na mashoga wote kwa sababu unaacha wanawake wengi zaidi kwa ajili yetu tuendelee kuwachakata.. wanaume wa aina yako endeleeni kujitunza, acha sisi tuwale hawa wanawake.
 
Sikupingi, Maishi ni Attach and detach.
kila mtu ana ulevi wake.

Lazima uwe na addition
Kama sio simu sanaa..
Basi mademu sana..
Pombe sanaa..
Kazi na kusoma sanaa
Mungu sana...

Sasa kuacha hayo juu, wewe wekeza kwa Mungu ndio utatoboa,
Soma sana biblia, Mahubiri sana , kila ibada hukosi,
Ndio msaada Pekee
 
Sikupingi, Maishi ni Attach and detach.
kila mtu ana ulevi wake.

Lazima uwe na addition
Kama sio simu sanaa..
Basi mademu sana..
Pombe sanaa..
Kazi na kusoma sanaa
Mungu sana...

Sasa kuacha hayo juu, wewe wekeza kwa Mungu ndio utatoboa,
Soma sana biblia, Mahubiri sana jifunze ndio msaada Pekee
Hapa kuna hoja
 
Habari wadau,

Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.

Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:

(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k

(03) Nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie

Fanikiwa sana mkuu ktk hili

Haya mambo yanatutesa wengi na kutuvuta sana nyuma

Kikubwa zingatia kuwa karbu na Mungu,ile hofu itakufanya usite kufanya mabaya

Zingatia pia kuepuka mazingira ya vichocheo vyote vinavyochangia utendaji wa tabia hizo

Mabadliko n mchakato,ANZA KIDOGO KIDOGO

ukiweza hayo yote,ndan ya miaka 2 utakua na hatua nying sana

“Pombe,wanawake,mitandao ya kijamii na anasa zingne zinazofanana na hizi zinaleta umaskin mkubwa na mahangaiko mengi “

Kila la kheri mkuu,Mungu akufanyie wepesi.
 
Habari wadau,

Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.

Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:

(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k

(03) Nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
Hapo kwenye kuto..ba hautafikisha hata miezi minne
 
Hiyo namba 2 ndio kipengele. Mimi nimeachana na K. Niko pulini 🤣. Nina zaidi mwaka na kidogo sijaiona K.

Ila kwenye puli nimefaidika mno. Mfano, Mwaka huu nimetunza hela kidogo kidogo mpaka nimenunua kiwanja changu kama masihara 🤣🤣🤣

Mwakani nitaendeleza puli, sina mpango wa kuacha puli 🤣
 
Hongera sana, mimi nina zaidi ya miaka kumi tangu niache pombe.

2024 nitautumia kuvuna jitihada zote nilizowekeza kitaaluma, yaani mwaka wa 2023 ulikuwa wa kujiongeza kitaalamu, sasa 2024 inapaswa nianze kuvuna.
Nilikaa mbali na familia, na kujitenga ili nifaulu, hivyo 2024 utakua mwaka wa kukaa karibu na niwapendao.
 
Habari wadau,

Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.

Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:

(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k

(03) Nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
Tupo pamoja.
 
Hizi phone ni very smart,kwa sababu zinatuibia hela nyingi sana.
Hao wasanii tayari wana private jets lakini bado hatuwezi kudownload video za youttube.
 
Habari wadau,

Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.

Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:

(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k

(03) Nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
Vizuri kabisa hilo namba moja hata mimi lilikuwa linanisumbua sana kiasi kwamba kunywa soda tatu kwa siku hasa pepsi bariiidiii lilikuwa halikwepeki lakini tayari nishaachana na soda na hilo la smartphone nalo mwisho wake ni 31dec23 panapo majaliwa ya mwenyezi mungu hadi tena 01jan26
 
Back
Top Bottom