Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

Mimi nipo moderate karibia kila kitu, yaani lifestyle yangu nipo moderate sana. Pombe ni kwa hamu, kitobo sio kivile, soda nimeacha, puchu nimeacha...
...kitu natakiwa kuacha/kupunguza ni muda wa kuwa jf(not online).
 
Namba 2 hiyo ni ngumu sana hizo nyingine inawezekana japo utapata maumivu makubwa
 
2...arosto arosto noma Sanaa. Tabia ulozoea kuiacha ghafla waweza pata sonona ama changamoto ya Afya ya akili
iyo sio changamoto ni mwili unaupdate new metabolic behaviour, mfano akiachwa kunywa soda simple sugar, atapata shida siku kama 7 ivo mwili utaanza kuchoma fat for energy instead of simple sugar or artficial sweeterners spam reintention testostorene level go high individual gain self acceptance
 
Habari wadau,

Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.

Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:

(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k

(03) Nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
Kama unataka kweli kufanikiwa kwenye hayo malengo yako, basi fanya tukio la jinai litakalo kupeleka jela hata kwa mwaka mmoja hivi. Ila ukibakia mtaani, utatudanganya.
 
Habari wadau,

Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.

Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:

(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k

(03) Nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
Mwaka mzima bila kufanya sex acha masihara mzee utajoin team za watu bure
 
mwamba alikua anamaaniaha aloo last seen disemba 29kauza simu
 
Back
Top Bottom