Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

Mimi nipo moderate karibia kila kitu, yaani lifestyle yangu nipo moderate sana. Pombe ni kwa hamu, kitobo sio kivile, soda nimeacha, puchu nimeacha...
...kitu natakiwa kuacha/kupunguza ni muda wa kuwa jf(not online).
 
Namba 2 hiyo ni ngumu sana hizo nyingine inawezekana japo utapata maumivu makubwa
 
2...arosto arosto noma Sanaa. Tabia ulozoea kuiacha ghafla waweza pata sonona ama changamoto ya Afya ya akili
iyo sio changamoto ni mwili unaupdate new metabolic behaviour, mfano akiachwa kunywa soda simple sugar, atapata shida siku kama 7 ivo mwili utaanza kuchoma fat for energy instead of simple sugar or artficial sweeterners spam reintention testostorene level go high individual gain self acceptance
 
Kama unataka kweli kufanikiwa kwenye hayo malengo yako, basi fanya tukio la jinai litakalo kupeleka jela hata kwa mwaka mmoja hivi. Ila ukibakia mtaani, utatudanganya.
 
Mwaka mzima bila kufanya sex acha masihara mzee utajoin team za watu bure
 
mwamba alikua anamaaniaha aloo last seen disemba 29kauza simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…