Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,035
mkuu andika thread ieleweke basi. umepanga kumpa nusu kwakua unajijua, kivipi sasa?nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
We ndo utakuwa wa kwanza kufanya hivyo katika dunia hii! Hongera sana mkuunimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
unaamini kuna watu wana uwezo wa kumenej hela za watu wengine ila za kwao hawawezi kuzimenej? unaamini mganga hajigangi? najijua nina mkono wa ufujaji ndo mana nampa haya majukumu mamsapu.. namuitaga mama kibajeti.mkuu andika thread ieleweke basi. umepanga kumpa nusu kwakua unajijua, kivipi sasa?
nini lengo lako kutwambia sisi? ni news alert? unataka ushauri ama kipi?
mpe tu hadi kazi yako!
Kama mm uyomkuu huyu mamsapu kwa bajeti nampigia saluti, ukimwachia laki 4 na nusu ya chakula kwa mwezi lazima mwisho wa mwezi hela ibaki, kosea vyote usikosee ukaja kuoa mfujaji.
Kwa avatar hii fake [emoji134] [emoji134]You look so cute and sexy my dear!........Ulivyo mzuri Mungu anakuona!
Mpk uku upooooMpe wote na card ya benk mpe
we jamaa mchambuzi, umefanya interview ndoa za dunia nzima? we mkali.We ndo utakuwa wa kwanza kufanya hivyo katika dunia hii! Hongera sana mkuu
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Jf bhana kila mtu ana mshahara zaidi ya milioni...hivi mnafanyaga kazi gani wenzangu nyie?....
Mume mwema uliyetoka kwa Bwanatatizo sio kila mtu ana mshahara wa milioni, ni kwamba wenye mishahara ya milioni ndio wenye guts za kuongea, hawalalamikagi kuchunwa wanajua ni wajibu wa mwanamke kutafuna kiasi cha pesa zake. we unaona haki mfanyakazi wa ndani unamlipa ila mamsapu hali hata shilingi yako? tuache unyanyasaji.
Wa kwako sh ngapii?Aiseeee......[emoji15] [emoji15]
Huu ndio unaita mshahara mzuri.
Anyway.....
Basi sawa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unapenda pic ww mfyuuu[emoji121]
WEKA PICHA KWANZA!
Acha kulia lia weka wako na ww [emoji28]JF wanataka kuifanya Instagram..kila mtu ana good life.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mpe wote ukiwa na shida atakupa
Apana kaongea ukweli mpe tu wotehuo ni utoto.
Hahahhhhnyie mnavotangaza humu mnaombwa sana hela huwa mnamtangazia nani? mbona tunawavumilia tu?
Bahati mbaya mimi sina mshahara aiseeee, na bahati mbaya zaidi mimi ndie nina daiwa mishahara.Wa kwako sh ngapii?