Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
mkuu andika thread ieleweke basi. umepanga kumpa nusu kwakua unajijua, kivipi sasa?
nini lengo lako kutwambia sisi? ni news alert? unataka ushauri ama kipi?
mpe tu hadi kazi yako!
 
mkuu andika thread ieleweke basi. umepanga kumpa nusu kwakua unajijua, kivipi sasa?
nini lengo lako kutwambia sisi? ni news alert? unataka ushauri ama kipi?
mpe tu hadi kazi yako!
unaamini kuna watu wana uwezo wa kumenej hela za watu wengine ila za kwao hawawezi kuzimenej? unaamini mganga hajigangi? najijua nina mkono wa ufujaji ndo mana nampa haya majukumu mamsapu.. namuitaga mama kibajeti.
 
mkuu huyu mamsapu kwa bajeti nampigia saluti, ukimwachia laki 4 na nusu ya chakula kwa mwezi lazima mwisho wa mwezi hela ibaki, kosea vyote usikosee ukaja kuoa mfujaji.
Kama mm uyo
 
Mkabidhi ATM kabisa kwa sababu ukibakinayo mwenyewe unajijua
 
tatizo sio kila mtu ana mshahara wa milioni, ni kwamba wenye mishahara ya milioni ndio wenye guts za kuongea, hawalalamikagi kuchunwa wanajua ni wajibu wa mwanamke kutafuna kiasi cha pesa zake. we unaona haki mfanyakazi wa ndani unamlipa ila mamsapu hali hata shilingi yako? tuache unyanyasaji.
Mume mwema uliyetoka kwa Bwana
 
Mke ninae lkn sio kwa stile hiyo, sasa kama unashindwa ku handle mshahara wako je mke utaweza kum handle?
 
Mpe mshahara mzima maana unanjijua kuwa muhongaji mkubwa
 
Wa kwako sh ngapii?
Bahati mbaya mimi sina mshahara aiseeee, na bahati mbaya zaidi mimi ndie nina daiwa mishahara.
Anyway.....
Nashukuru Mungu kwakua nina uhakika wa kupata ugali wa kila siku na kunifanya leo niwe mimi nilie simama.
 
Back
Top Bottom