Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]Unapenda pic ww mfyuuu
MKUU
KAMA WEWE NI MWEUPE
NI_PM FASTA TUONGEE MIPANGO ENDELEVU!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji121]Unapenda pic ww mfyuuu
Ampe wote tu si mkewe unajua sisi tunabana sana hela[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mm ni mweupe ndio kwan we msukuma mpk unataka mtu mweupe[emoji121]
MKUU
KAMA WEWE NI MWEUPE
NI_PM FASTA TUONGEE MIPANGO ENDELEVU!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sana tu.Ampe wote tu si mkewe unajua sisi tunabana sana hela
[emoji121]Mm ni mweupe ndio kwan we msukuma mpk unataka mtu mweupe
Ndo wap PM[emoji121]
MKUU
NJOO PM FASTA SANA!!!
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
hahah, mkuu mbona unataka niexpose kila kitu kuhusu mamsapu. anataka afuge kuku wa nyama yupo kwenye maandalizi.Kama mkeo si mfanyakazi ni bora ungemtafutia shughuli ya kuingiza kipato kuliko kumpa tu hela wakati yuko idle. Jaribu kumtafutia shughuli mkeo kumpa hela na yeye kuzitumia bila kuingiza ni bure tu na itawatia umaskini mwisho wa siku maana hamtaendelea.
PRIVATE MESSAGE.Ndo wap PM
Utatuambia ulimkuta mkeo bikrakwa namna ninavyomhendo kuchepuka kwake ni ngumu.
Wangu wala sio mkubwa napata 1.8 mil kwa mwezi.😉😉😉😉😉😉Acha kulia lia weka wako na ww [emoji28]
Ndo kuna niniPRIVATE MESSAGE.
[emoji121]
Uo mkubwa mbona umemzidi mtoa mada kumbe na ww walewale tu wamamilioniWangu wala sio mkubwa napata 1.8 mil kwa mwezi.😉😉😉😉😉😉
[emoji121]Ndo kuna nini
Nadhani hukunielewa mwanzo...''KILA MTU JF ANA MSHAHARA MKUBWA''..mimi sikujitoa wala kujibagua...na wala sikusema nina mshahara mkubwa..Uo mkubwa mbona umemzidi mtoa mada kumbe na ww walewale tu wamamilioni