Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Mshahar wako ni kias gani ?na unampa ili naye awe kama ameajiliwa? au mantik yake ni nini tupunguzie maswali maana naona tuko njia panda tupe elimu au mkeo anafanya kaz nying san hapo .kwako au kakufurahisha sana
 
Kama mkeo si mfanyakazi ni bora ungemtafutia shughuli ya kuingiza kipato kuliko kumpa tu hela wakati yuko idle. Jaribu kumtafutia shughuli mkeo kumpa hela na yeye kuzitumia bila kuingiza ni bure tu na itawatia umaskini mwisho wa siku maana hamtaendelea.
 
hahah, mkuu mbona unataka niexpose kila kitu kuhusu mamsapu. anataka afuge kuku wa nyama yupo kwenye maandalizi.
 
Uo mkubwa mbona umemzidi mtoa mada kumbe na ww walewale tu wamamilioni
Nadhani hukunielewa mwanzo...''KILA MTU JF ANA MSHAHARA MKUBWA''..mimi sikujitoa wala kujibagua...na wala sikusema nina mshahara mkubwa..
 
Back
Top Bottom