Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Shukrani sana ubarikiwe ila Mungu ndo anajua mimi ni shoga au iron man asante chizi maarifa.
 
bia ni 2500, 3000 au 4000??. nijue naenda na bajeti kiasi gani..
na bei ya local beer vs imported beer!.
 
Bariki
Asante mkuu.

Asante kushukuru, hapa duniani tunaish kwa kuambiana ukweli, kusapotiana na kuelimishana, wanaokwamisha hii dunia ni watu wabinafsi, unaweza kuta mtu anajua kabisa au anaweza kabisa toa msaada ila kwakuwa mbinafsi anaamua kukwepesha au kuongea uwongo ilimradi tu usiipate taarifa iliyo sahihi, ndio mana hata kwene serious mtu anaweka utani
 
Kweli kaka busara ndo kitu muhimu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…