Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Iyo hennessy bei gani mkuu nimeki mwaka mpya nikanunue
 
Sawa, hebu lete location maana naskia ni mbezi beach ila sijajua hasa ni wapi exactly
 
Binafsi sijapapenda sana,ila kuna totoz za ukweli hasa mida ya jion..kuna malaya pia wanatega mabuzi ya kuchuna kama kawaida.
Location yake ni unaenda mpaka kule mbezi beach ya chini kuna sehemu inaitwa kwa zena unaingia kulia huko ndani.
Kutoka kwa zena hadi eneo la tukio kuna umbali gani?
 
Sio sehemu nzuri kwenda na watoto ila ni pazuri kubarizi na marafiki kula good time..Kama una usafiri pita njia ya Mbezi Beach kule chini, kuna sehemu kunaitwa kwa Zena Kawawa utaona bango linakuelekeza
Ahsante mkuu
 
Ahsante sana
 
Hahahaahaaaaa daaaaah [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…