Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

mkuu kidimbwi iko mbezi beach ya chini kule kawe round about alafu mbele ukitumia google map utafika nikupe tip za kungoa pini nunua Hennessy basi utazungukwa na watoto wazuri tupu ushindwe wewe tu pia usiende na demu utajilaumu milele manake kuna pini za hatari hujapata kuziona
Iyo hennessy bei gani mkuu nimeki mwaka mpya nikanunue
 
Sawa, hebu lete location maana naskia ni mbezi beach ila sijajua hasa ni wapi exactly
Gulio la watu wa 'Haki za binadamu'

Ni eneo la kawaida sana sema tu limefanikiwa kujipa Brand ya kutosha

Kiwanja kile kilikuwa cha Tajiri mmoja mkubwa sana wa Kibaniani hapa Nchini ndio akakiuza 2004 kwa Dada fulan wa Kirangi ambae kakikodisha kwa kina Thuwain
 
Binafsi sijapapenda sana,ila kuna totoz za ukweli hasa mida ya jion..kuna malaya pia wanatega mabuzi ya kuchuna kama kawaida.
Location yake ni unaenda mpaka kule mbezi beach ya chini kuna sehemu inaitwa kwa zena unaingia kulia huko ndani.
Kutoka kwa zena hadi eneo la tukio kuna umbali gani?
 
Sio sehemu nzuri kwenda na watoto ila ni pazuri kubarizi na marafiki kula good time..Kama una usafiri pita njia ya Mbezi Beach kule chini, kuna sehemu kunaitwa kwa Zena Kawawa utaona bango linakuelekeza
Ahsante mkuu
 
Ahsante sana
Ni pa kawaida sana.
Barabara ya kwenda huko imejaa madimbwi sana. Pia eneo lake ni dogo kuweza kuranda randa. sikushauri kwenda na Familia.

Labda uende Kwa lengo la kunywa kunywa na kusafisha safisha macho na "wasanii" na mademu mademu. Bei ni za kawaida kama sehemu nyingi za Ufukweni.

Namna ya kufika, pita Barabara ya Mbezi chini, ulizia Shoppers Plaza. Barabara ya kuelekea Kidimbwi iko exactly opposite na barabara ya kwenda Shoppers.
 
mkuu kidimbwi iko mbezi beach ya chini kule kawe round about alafu mbele ukitumia google map utafika nikupe tip za kungoa pini nunua Hennessy basi utazungukwa na watoto wazuri tupu ushindwe wewe tu pia usiende na demu utajilaumu milele manake kuna pini za hatari hujapata kuziona
Hahahaahaaaaa daaaaah [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom