mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,174
- 2,912
Uko sahihi Kuna local na classic Hennessy hizo za 80 ndizo zinauza Sana kwenye supper maket ila hizo za 200k na kuendelea Ni pure na zinauzwa Sana maeneo ya viwanja ambako watu hawajiuliz Sana kuhusu beiKibongobongo wengi wanapiga hizo cognac za bei za kawaida za 35,75,80 ukumbuke cognac whisky nyingi bei za ulaya tofauti na kwetu na hata ladha hua kama zinatofautiana, tungepata watu wa ukanda wa baridi kama Russia tuwaulize ladha ya vodka kama ni sawa au vipi?