Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mkuu sidhan kama ni dhambi kama mtu anafanya statehe yake na hawabugudhi wengine. Labda tuseme matokeo baada ya ulevi yale matendo ndo tatizo. Na sisi tinavyo vyetu[emoji28] kwahiyo siwezi wasimangiNina dhambi ila nikisoma nyuzi zenu najikuta sina Dhambi kiviiiile.
Ila haya mambo ya kufata mkumbo aisee.Hakuna ubishi, mwanafunzi kaja mjini mara ya kwanza kwa nauli ya kuuza ndizi tena anakuja amefunga kitambaa anakaa muda mfupi ashajua skin ni nini, location mikoa tofautitofauti, ujue tayari huyo mjasiliamali mtu katoka kibong’oto huko hana ndugu mwanza ghafla ashazijua malaika na villa na sio kwamba kaenda field huko au ana research anafanya hapana bata tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yes. Sijawahi fika binafsi. Sipendi sehem zenye mkusanyiko mkubwa wa watu. Tena na hii covid ndo balaaWengine hatujawahi jichanganya kwenye sehemu za starehe kwahiyo ndio nashangaa humu watu wanavyopaelezea
Acha kabisa , kuna club inaitwa Maison iko Seacliff ... angalia bei zao ..na watu wanakula maji kama kawaidaa ! Bongo hii usiseme "vyuma vimekaza" sema MIMI sina hela!!
View attachment 1661589
Nunua VSOP 150,000.Iyo hennessy bei gani mkuu nimeki mwaka mpya nikanunue
Kibongobongo wengi wanapiga hizo cognac za bei za kawaida za 35,75,80 ukumbuke cognac whisky nyingi bei za ulaya tofauti na kwetu na hata ladha hua kama zinatofautiana, tungepata watu wa ukanda wa baridi kama Russia tuwaulize ladha ya vodka kama ni sawa au vipi?
Good. Thats all what mattersI enjoy my company that's all ..
Ndo nn iyo mkuu VSOPNunua VSOP 150,000.
Wengine wanatafuta biashara za cuzo au rafiki aliyefanikiwa. Anapost hizo na kujikuta mjasiriamali ili usishtuke hela anapata wapi na akisafiri anaenda kufanya nini. Sasa jichanganye uige biashara yake ili mfanye extension sehemu nyingine uone utavopata za uso. Ile biashara ni mitego tu na 'money laundering' ya [emoji77] power.Wengine makonkodi wa kujiuza hawa wanaouza vitu online unakua manzi yeye anapost pochi akibadili sana viatu tena bidhaa zake za kiume tu ujue tayari
Utaona WhatsApp "mwenye anaenda Mwanza wiki hii jamanii[emoji17][emoji17]".Hakuna ubishi, mwanafunzi kaja mjini mara ya kwanza kwa nauli ya kuuza ndizi tena anakuja amefunga kitambaa anakaa muda mfupi ashajua skin ni nini, location mikoa tofautitofauti, ujue tayari huyo mjasiliamali mtu katoka kibong’oto huko hana ndugu mwanza ghafla ashazijua malaika na villa na sio kwamba kaenda field huko au ana research anafanya hapana bata tu.
Watu wanakula Sana maisha mjombaAcha kabisa , kuna club inaitwa Maison iko Seacliff ... angalia bei zao ..na watu wanakula maji kama kawaidaa ! Bongo hii usiseme "vyuma vimekaza" sema MIMI sina hela!!
View attachment 1661589
Mwendo wa dakika 5 kwa gariKutoka kwa zena hadi eneo la tukio kuna umbali gani?
Eeehh.. hii mpyaaaaa.. kwamba kumbe ni mbinu nyingine hii[emoji119][emoji119][emoji119] ili waonekane wanafanya biashara hawako idle ni wapambanaji kumbe mbele kwa mbele...Wengine wanatafuta biashara za cuzo au rafiki aliyefanikiwa. Anapost hizo na kujikuta mjasiriamali ili usishtuke hela anapata wapi na akisafiri anaenda kufanya nini. Sasa jichanganye uige biashara yake ili mfanye extension sehemu nyingine uone utavopata za uso. Ile biashara ni mitego tu na 'money laundering' ya [emoji77] power.
Acha wivu shekhee[emoji23][emoji23][emoji23] wewe anasa yako ni nini yakheHizi ni anasa.
Ni ubatili mtupu.
Mwenyezi Mungu hapendi.
Sabuni ya kufulia inayotakatisha nguo na kuondoa uchafu aina zoteNdo nn iyo mkuu VSOP
Shukrani mkuu ubarikiwe🤝Sabuni ya kufulia inayotakatisha nguo na kuondoa uchafu aina zote
nimeamini panatisha Kidimbwi na Wanachuo upo sahihi[emoji23][emoji23] nikukumbushe tu, hata sisi wakopesha kwa riba hatutaki kukopesha maana tutaua urafiki na peaa tutapoteza