Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

Afu unakosea kusema ni Kibiti hapo uko Kimanzi Chana

Kibiti mbali sana
Lazima upite Mkiu, Njopeka, Jaribu, Bungu, etc
 
Hapo uliingiza woga na kutaka kuruka. Ajali za boda ni tamu, mfano niligonga ng'ombe mkubwa na chombo ilichakaa na Mimi kuchubuka chubuka. Kuna jamaa aligongana na baiskeli baik ilichakaa Sasa zile ndo ajali sio Hiyo unaruka wakati chombo imechanganya.
Ahahahh
 
Back
Top Bottom