Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

Kawavalia msuli, akawamwagia radhi...🤣
Malawi wana Technologia fulani ambayo ukiandaliwa chakula ule pamoja na wazee, unatakiwa uwe makini sana.
Usije ukafanya kosa la kuanza kuchukua nyama kabla ya wazee, au uwe makini round zako za kuchukua nyama zisiwazidi.
Ikitokea ukafanya makosa hayo, wanachofanya wao ni kufinya vidole. Wakishafinya basi finyango la nyama litabaki linabaki kooni halishuki wala halipandi, yaani kutema huwezi, kumeza huwezi,
Unabaki unajipigapiga kifuani na kuomba maji kwa sauti isiyotoka. Utaucheza huo mziki hadi chakula kiishe na aliyefinya afinyue vidole vyake.
Kilichomtokea ndugu yetu hapa itakua alimuanga either bint au mke wa mzee Mbonde kwa matamanio, mzee mboe aka mund akataka amvue msuli hadharani.
 
Hivi msuli ni vazi analothibutu kuvaa mwanaume kijana nyakati hizi!

Pole sana ndugu, maadam upo mzima shukrani kwa Mungu.
 
Malawi wana Technologia fulani ambayo ukiandaliwa chakula ule pamoja na wazee, unatakiwa uwe makini sana.
Usije ukafanya kosa la kuanza kuchukua nyama kabla ya wazee, au uwe makini round zako za kuchukua nyama zisiwazidi.
Ikitokea ukafanya makosa hayo, wanachofanya wao ni kufinya vidole. Wakishafinya basi finyango la nyama litabaki linabaki kooni halishuki wala halipandi, yaani kutema huwezi, kumeza huwezi,
Unabaki unajipigapiga kifuani na kuomba maji kwa sauti isiyotoka. Utaucheza huo mziki hadi chakula kiishe na aliyefinya afinyue vidole vyake.
Kilichomtokea ndugu yetu hapa itakua alimuanga either bint au mke wa mzee Mbonde kwa matamanio, mzee mboe aka mund akataka amvue msuli hadharani.
Duh noma sana
 
Back
Top Bottom