Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

Huyo Boda aliamua kukunyoosha tuu maana alikwambia bei ni 4000

Wewe ukang'ang'ania 2000 umeona sasa
Siku nyingine usirudie, ila pole sana
 
Pole sana sheikh, wewe badala ya kujishikilia ukaamua ushikilie msuli! Siku nyingine jaribu kuwa makini vinginevyo tungekuwa tunazungumza mengine wakati huu
 
Pole sana sheikh, wewe badala ya kujishikilia ukaamua ushikilie msuli! Siku nyingine jaribu kuwa makini vinginevyo tungekuwa tunazungumza mengine wakati huu
Kbisa mkuu asante sana
 
Back
Top Bottom