Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

Pole sana kosa lako kubwa ulilo lifanya ni kumuonyesha salaryslip..hapo tu
Lakini hili sio kosa kuu, ni nidhamu tu ya pesa mke wake hana. Mke wangu kuna akaunti tunashare hadi atm card , lakini hata awe na shida vipi haigusi bila sababu zinazoeleweka.
 
Unastahir kujengewa sanamu mkuu, congole
 
Tumianpesa iwazoeee kikubwa fungua biashara iwe inawasingesha
Atafunguaje biashara wakati kamshahara kanaulisha ndani ya wiki 3? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeongea ukweli mkuu, mimi huwa nahakikisha ikifika mwisho wa mwezi nahakikisha kila kitu kimo ndani mafuta, mchele, mahundi, unga n.k Japo mke wangu huwa mafuta anajua kuyatumia hadi raha, nampa na pesa ya matumizi na kwakuwa tupo kijijini nikimpa 30000 inatoboa mwezi japo sometimes nikipata marupu rupu job nampa afanye matumizi yake.

Saivi tumepanga mwakani tufungue biashara, alafu mshahara wangu haujui ila nahakikisha anapata mahitaji yake. Kiukweli huwa sikubali mwanamke aniendeshe japo najari ukiwa na msimamo hawezi ongeza matumizi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] et ngoni migration
 
Uliona sifa mwenyewe kumuonesha salary slip mkeo [emoji3][emoji3][emoji3]
Mi mwenyewe aliniulizaga unalipwa shilingi ngapi? Nikamjibu masuala ya mshahara yananihusu mimi mwenyewe, akatulia sometimes huwa wana test mitambo hawa ukijiingiza tu umeisha, Mungu wangu one day slary slip nilikuwa nimeificha kwenye vyeti vyangu siakaiona ila nikampeleka kibabe aisee hawa viumbe bhana.
 
Huyo mke wako yeye anabiashara au kazi ya kufanya? Kama hana unaweka house girl wanini mfundishe mkeo kupambana.
 
Huyo mke wako yeye anabiashara au kazi ya kufanya? Kama hana unaweka house girl wanini mfundishe mkeo kupambana.
Hoja yangu ni kwamba usinunue mafuta ya kula kwa wingi nyumbani kwako kwa sababu yatatumika vibaya na mwili ndiyo utakao umia. Mambo ya mke wangu achana nayo chief.
 
Hoja yangu ni kwamba usinunue mafuta ya kula kwa wingi nyumbani kwako kwa sababu yatatumika vibaya na mwili ndiyo utakao umia. Mambo ya mke wangu achana nayo chief.
Umekuja kuomba ushauri au umekuja kupanic? Maana wewe unasema mkeo akiingia jikoni mafuta hayatumiki mengi ila house girl akiingia yanatumika mengi sasa nashangaa maana hata hoja yangu hujaichuja unatoa hoja za kupanic.
 
Hoja yangu ni kwamba usinunue mafuta ya kula kwa wingi nyumbani kwako kwa sababu yatatumika vibaya na mwili ndiyo utakao umia. Mambo ya mke wangu achana nayo chief.
Alafu mkuu hizi hoja zote tunazichangia kwa mtoa uzi ukiona nime Quote post yako ujue tunachangia kwa mtoa uzi sijasema kumhusu mkeo kwahiyo tuliaaaa.
 
Asante mkuu na Mimi nitanufaika na huu ushauri
 
Umekuja kuomba ushauri au umekuja kupanic? Maana wewe unasema mkeo akiingia jikoni mafuta hayatumiki mengi ila house girl akiingia yanatumika mengi sasa nashangaa maana hata hoja yangu hujaichuja unatoa hoja za kupanic.
Sijaja kuomba ushauri, nilikuwa nachangia mada.

Nadhani unahitaji kutulia. Hebu tulizana. Soma mada vizuri kwa kutulia.
 
Mambo ya mahusiano kwakweli ni utata sana...
 
Sasa ulipomwambia unalipwa 2M ulitegemea nini? Acha achezee vikoba vyake hio laki moja na kimsingi jua tu kuwa anacheza mchezo wa elfu 40 kwa week huyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ili akipokea aanze ujenzi kwao!
Mkaanga sumu orijinale๐Ÿ˜‚

Katika vitu mama wa rafiki yangu alituusia kuhusu ndoa ni "Kamwe usimhurumie mwanaume; apply pressure"

Wewe apply tu pressure wanaume wanajua wapi pa kupata pesa. Usijibane bane watazitafuna wenzio
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mkaanga sumu orijinale[emoji23]

Katika vitu mama wa rafiki yangu alituusia kuhusu ndoa ni "Kamwe usimhurumie mwanaume; apply pressure"

Wewe apply tu pressure wanaume wanajua wapi pa kupata pesa. Usijibane bane watazitafuna wenzio

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Apply pressure!!!
 
Mkaanga sumu orijinale๐Ÿ˜‚

Katika vitu mama wa rafiki yangu alituusia kuhusu ndoa ni "Kamwe usimhurumie mwanaume; apply pressure"

Wewe apply tu pressure wanaume wanajua wapi pa kupata pesa. Usijibane bane watazitafuna wenzio
Namiee nita apply pressure kwenye maeneo yangu yale utajua hujui๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Pole sana kaka
Mkuu mm sikubaliani na ww kwamba wife kaongeza matumizi no no no
Iko ivi "Kadri unavyopata hela (kipato) matumizi uongezeka hiyo ndo kanuni.
Mfano nahis sa hivi una miliki gari/pikipiki inahitaji huduma n.k je mwanzo ulikuwa nayo?

Ushauri:jitaidi sana kubuni vyanzo vya mapato nje ya mshahara utarudi kunishukuru
Ushauri:mke wako mwachie bajeti ya familia iwe mikononi mwake[emoji817][emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ