Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,023
- Thread starter
-
- #41
Jamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.Mwanaume wa kitanzania akipata visenti tu, kinachofata ni mke!
Mbona hiyo 1.2 ni kiduchu sana.
Any way, all the best mkuu!
- KANA -
[emoji23] [emoji23]tulia
Jamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.
wewe tulia tushakuelewaJamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.
Kila la kheri mkuu!Jamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.
Mkuu asante kwa ushauri, ila naomba uelewe jambo moja...ninaoa ni mimi, sio mshahara wangu au pato langu... mean mimi ndio mwanaume ninaeoa.joseverest nimekulindia nafasi yako, uje ili tumshauri pamoja
dogo hiyo hela ndogo sana na sana..
gross ya 1.2m net yake ni kama laki 8 na nusu hivi..
tena hapo bodi ya mikopo kama hawakudai.
haya sas tuchekeche laki 8 hiyo ulipe kodi, nauli, msosi, umeme, maji etc..
hiyo hela hapo ni kama unaingiza elfu 27 kwa siku
ambapo hata muuza chips au muosha magari na kindoo tu anakuzidi..
nakushauri swala la kuoa au kuishi na mwanamke weka pembeni kabisa.. fanya saving kisha invest na kuinvest na kuinvest tena.. after 5 yrs ndio usake kimwana..
kipindi hiki tafuta girlfriend tu uwe mnakutana weekend..
Ni kweli, lakini haimaanishi kwamba naitegemea hiyo tu kuendesha maisha, pia uamuzi wangu wa kuoa hauko influenced na rate ya pato langu.fanya kazi kwanza ujipange,hela bado ndog sana
Siajkuona PMHaya nipo hapa najua matumizi ya hela
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu nimesema"bila kujali itikadi za vyama".Umenipatia vyote umekosea kumuunga mkono nani sijui... Subiria wengine watakuja
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85]sasa hapa ngoja nikae chini nijumlishe na kutoa .nigawanye nizidishe .hili zali sio la nchi hii yaani.
Kila la kheri, ila uwe makini hapo kwenye kula vizuri panahitaji uwezo mkubwa kifedha unless kama kula vizuri kwako kuna tafsiri sawa na ya huyo mtarajiwa. Mimi nakumbuka mwaka flani wakati naanza anza kazi tu hapo nimetoka kijijini kwetu, basi vile vimishahara vya mwanzo mwanzo nilijiona kama nina pesa za kutosha maana by then nilikua na Net pay ya Tshs562,500 ilikua ni hela ndefu sana kwangu, kipindi hicho unaagiza Suzuki Vitara toka Japani mpaka unaimiliki hata Milioni5 haifiki, siku nikapata Girlfriend hapa Dar alafu alikua chuo tu, siku moja nimemuahidi kwamba toka asubuhi nataka nimpe good time wkend nzima, tulianzia Ijumaa jioni mpaka Jpili jioni kwa hizi siku tatu, ilisambaratika zaidi ya 350,000 ndo nikagundua kula good time nikujuako mimi siyo kule anakojua yule bint, I thank god toka siku ile nikaacha kujishaua kwa mabinti hatimae nikapata mwanamke tunayeweza kufanya maisha kiutu uzima......Apende kula vizuri. Jamani mimi napenda kula vizuri
Naona treni imefika kigoma, changamkia fursatulia
Nipo mimi mkuu, mimi sio wa sampuli hiyo.Mume wa sampuli yako sitaki hata kumsikia japo nna shida ya mume mfyuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa watakataa kwa sababu ya visenti kwahiyo sisi ambao hatuna kabisa itakuwaje1.2m hata kama ni net, ni vijisenti tu, visikutie kiwewe. Wasichana wanaojitambua wala hatakukubali