Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

sidhani kama kipato ni chanzo cha ndoa ingekua hivyo wazee wetu wasingeo kabisa maana enzi za mwalimu maisha ilikua ni "KUFUNGA MKANDA
"
 
Fanya kazi mwaka mmoja kwanza.
Jiwekee akiba
Jitafutie kipato nje ya huo mshahara
Jiendeleze ki Elimu
Mke atajileta mwenyewe.
Hiyo jiendeleze kielimu ili iweje ...mwambie afanye investment tu ujasiriamali na vitega uchumi atawin ...
 
Mil. 1.2 tu unapiga kelele namna hii je ukipokea kama wanayopokea Wanaume utasemaje? Tulia na sent zako hizo mjini si lolote si chochote ndio salary yangu hiyo mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] akimpata demu mwenye Maisha yake mbona fresh tu naomba niulize we kaka ni hb mie mweusi yani maji ya kunde Ila nna msambwada[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisseh JF noma ...kumbe 1.2 M ni nyingi eehhh ......Dada jaribu kunywa maji mengi Si unaona vigezo kibao vinakutoa nje ya ushindani ...
 
Hiyo jiendeleze kielimu ili iweje ...mwambie afanye investment tu ujasiriamali na vitega uchumi atawin ...
Huwezi jua atafanikiwa wapi. ..ni vizuri ukawekeza kotekote. ..biashara zikigoma. ..unaweza kupata kazi nzuri zaidi yenye kipato bora zaidi na kwa urahisi zaidi.

Hata kwenye hizo biashara elimu yake inaweza kumsaidia.
 
Mkuu pesa ina mata sana kwenye suala la kuoa nowdays ....tunaona uku mitaani wanaume wanavyodharaulika ....wake zao wanawanyanyasa sana kisa uchumi poor ....
 
Sina nyumba, japo niko kwenye process za kununua kiwanja, kuhusu gari...kwasasa nina pikipiki.

Sina ndugu wala mtoto anayenitegemea

Laki tano naweza kukupa.
Kwa mpango huo nikuja kujioolesha mwezi ujao nunua jiko nzuri lenye oven. Nunua fridge kubwa milango miwili.. nunua friza la kilo 100... halafu jiko la kuchoma nyama me ninalo naweza kukuzia nikalikuta.... ..

... halafu me napenda kunywa nitakufundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…