#COVID19 Nimepata Chanjo ya Corona nchini Marekani, puuzeni uzushi

Pole Kaka. Acha wanaobwabwaja waendelee kubwabwaja

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Aiseeee !!!
 
Nilisema hivyo hivyo....maumiv ya corona ni habari tofauti...umewah jiskia kujisaidia ukashindwa jisaidia wewe...hata kuoga unashindwa...unalia tu kwa maumivu.mie nimepima had uric acid hakuna...hebu toa domo lako hapa...mpk leo misuli ya miguu na shingo vinapasua...
 
Hiyo siyo corona bali unakifaduro mkuu.
 
Zipi hizo? Kwamba ukichanjwa uendelee kuvaa mask na kukeep distance?

Bottom line is there is a lot of unknown info about these vaccines. Hawasemi hizo dose mbili zitaishiwa nguvu lini au ukishachomwa basi hutohitaji kuchomwa tena
Hawawezi kujua kwa sababu chanjo ndiyo zinaanza kutumika. Ila uwezekano mkubwa ni kuwa haziwezi kudumu kwa muda mrefu. Nimesema hivi kwa sababu chanjo kama za flu huwa mtu anahitaji kuchanjwa kila mwaka. Ila kumbuka wanachotaka ku-achieve ni herd immunity kwa maana kuwa wakichanjwa watu angalau zaidi ya asilimia 70 kwa kipindi kifupi ugonjwa unaweza kutoweka au kupungua sana.
 
Mtoa mada,
unalizungumziaje ili la kuzigawa dawa kimakundi.

Kwamba izi hazitakiwi kabisa ulaya, hizi zinawafaa kabisa wale wa Ulimwengu was tatu.[emoji116]
 
Hongera sana Mkuu I am just so happy for you. Sasa hata ukiipata corona haitakusumbua sana na kusababisha kulazwa na kuwekewa ventilator na kutishia uhai wako. Itakuwa kaugonjwa kadogo tu pia kwa kupata chanjo unaweza kuingia nchi yoyote ile duniani kwa kuonyesha tu uthibitisho kwamba umepata chanjo.
 
Pole mkuu. Nina mtu wangu wa karibu aliugua naye alikuwa anaelezea hivyo hivyo. Alikuwa anasema akiona chakula hakitaki kabisa halafu mtu akikupa chakula ukala bila kuangalia huwezi kujua ni chakula gani kwa sababu husikii ladha. Alisema hajaugua namna hiyo tangu azaliwe, haifikii hata ile malaria kali kabisa.
 
😳😳😳😳😳uliipata hii kitu?
 
Ila mimi mpaka Sasa bado Sioni point ya kwanini TZ hatutaki kukubaliana na chanjo.

Anyways najua tutabana Ila mwisho tutaachia👐
 
Pole sana kwa yaliyokukuta mkuu!
 

Ile kitu ni balaa, maumivu yake utafikiri umegongwa na treni [emoji23]. Yani unasikia maumivu kutoka utosini mpaka unyayoni [emoji23] hakuna sehemu ya mwili ambayo haiumi. Ukitembea ukapiga hatua ni maumivu ukisema ukae ni maumivu kiufupi ni maumivu left and right
 
Duh! Pole sana ulichungulia kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…