Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
[emoji23][emoji23][emoji23], Duh!!!, Ukisikia kukatishana tamaa ndio huku.Nilichokuambia ufanye ndo kitathibitisha unachokisema maana huwezi jua labda huyo jamaa yako yuko ulaya ila saivi hana malinda na ndo anachokuitia hicho.
Mkuu unajibu kitu ambacho hakikuhusu.
Swali langu ni hivi,ikitokea nimepata ruhusa ni sahihi kuacha kazi au niache hiyo nafasi ?
Icho ni nini hapo?Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Wewe kaa tu wenzio wanalipwa,kuna demu kasoma na sisita wangu yeye yuko holand anasoma analipwa 2.9M gharama za kula anajilipia na kusoma bure,kila siku anaongeza kozi,anajenga kwao.Duhh,,tangu lini uk wakakusomesha na kukulipa mshahara wewe mbongo, tena co wa kitoto m3!!!!! Au una maanisha LIBYA ya Gaddafi mzehe?
Kuna watu wapuuzi sana nchi hii ndio maana huwa nasema ukipata chaka tembea nalo tuAmesema nioneshe yako kwanza kaka
Mtie moyo[emoji23][emoji23][emoji23], Duh!!!, Ukisikia kukatishana tamaa ndio huku.
Huyo jamaa mpuuzi sana,mm nauliza vitu serious yeye analeta fikra mgando anadhani kila mtu huko ulaya anapenda hayo mambo.Kuna watu wapuuzi sana nchi hii ndio maana huwa nasema ukipata chaka tembea nalo tu
Huyo jamaa kuna uwekezaji wa maana aliofanya huku nyumbani ? Isije ukaenda ukafuata njia yake, mwanafunzi unalipwa lakini ni hela ya kutosha kukufanya uishi tu huko nje hamna cha maana utafanya, na hivyo vibarua ni mambo yale yale utaendelea kama utafanya kazi ambayo ni profession yako huko nje...Soma huko nje,tafuta kibarua au kazi ukiwa na mpango wa kuwekeza nyumbani vinginevyo utakuwa tu unapoteza muda wako...fainali uzeeni sijui kama uzee ukikuta huko nje utaweza kusurviveAnasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Una bahati kuunganisha ilikuwa enzi za Jakaya nn?Kaka ongea na mkurugenzi wako vizuri ATAELEWA tuu.
Mi niliajiriwa na Diploma nikapata ruhusa ya kwenda kusoma bachelor then hukohuko nikaunga mpaka masters (niliongea nae nilivyomaliza bachelor akanipata ruhusa ya kuunga).
Na sasa natafuta scholarship ya PhD, napambana sanaa na nitapata tu.
#YNWA
Kwani mkurugenzi akikuruhusu nini shida?Una bahati kuunganisha ilikuwa enzi za Jakaya nn?
Ni pm tupeane mbinu na uzoefuWakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Sio wakurugenzi wote. Nongwa chawa wa kuanzia idarani!Kwani mkurugenzi akikuruhusu nini shida?
Haina wakati, ni Moyo wake tu huyo mkurugenzi na maneno yako ya ushawishi.
#YNWA
Kuna Wakuu wa Idara nongwa hasaa ila wewe nenda kwa mkurugenzi.Sio wakurugenzi wote. Nongwa chawa wa kuanzia idarani!
Wewe ni muongo hakuna sehemu rahisi ya kupata ruhusa kwenda kusoma ukiwa mfanyakaxi wa serikali. Wengi tumesoma nje tukiwa wafanyakaxi wa serikalini. Omba watu wakusaidie kama umepata nafasiWakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Nchi gani hii tujuze tukasome na sie...Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana