Nimepata connection ya kwenda kusoma nje ila sasa ninafanya kazi. Naomba ushauri

Nimepata connection ya kwenda kusoma nje ila sasa ninafanya kazi. Naomba ushauri

Mkuu unajibu kitu ambacho hakikuhusu.
Swali langu ni hivi,ikitokea nimepata ruhusa ni sahihi kuacha kazi au niache hiyo nafasi ?
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri

Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.

Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.

Je niache kazi niende kusoma huko nje?

Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Icho ni nini hapo?
 
Duhh,,tangu lini uk wakakusomesha na kukulipa mshahara wewe mbongo, tena co wa kitoto m3!!!!! Au una maanisha LIBYA ya Gaddafi mzehe?
Wewe kaa tu wenzio wanalipwa,kuna demu kasoma na sisita wangu yeye yuko holand anasoma analipwa 2.9M gharama za kula anajilipia na kusoma bure,kila siku anaongeza kozi,anajenga kwao.
Sasa wewe kaa tu hapo hapo
 
Kuna watu wapuuzi sana nchi hii ndio maana huwa nasema ukipata chaka tembea nalo tu
Huyo jamaa mpuuzi sana,mm nauliza vitu serious yeye analeta fikra mgando anadhani kila mtu huko ulaya anapenda hayo mambo.
Alafu huko nje hizo mambo hazilipi kabisa kiasi kwamba mtu mmbongo awezekujenga na kufanya miradi kwa kazi hyo tu wakati kuna machoko kibao tu,kule mashoga wana elimu na mishe zao hawategemei ushoga tu
 
Kaka ongea na mkurugenzi wako vizuri ATAELEWA tuu.
Mi niliajiriwa na Diploma nikapata ruhusa ya kwenda kusoma bachelor then hukohuko nikaunga mpaka masters (niliongea nae nilivyomaliza bachelor akanipata ruhusa ya kuunga).

Na sasa natafuta scholarship ya PhD, napambana sanaa na nitapata tu.

#YNWA
 
Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Huyo jamaa kuna uwekezaji wa maana aliofanya huku nyumbani ? Isije ukaenda ukafuata njia yake, mwanafunzi unalipwa lakini ni hela ya kutosha kukufanya uishi tu huko nje hamna cha maana utafanya, na hivyo vibarua ni mambo yale yale utaendelea kama utafanya kazi ambayo ni profession yako huko nje...Soma huko nje,tafuta kibarua au kazi ukiwa na mpango wa kuwekeza nyumbani vinginevyo utakuwa tu unapoteza muda wako...fainali uzeeni sijui kama uzee ukikuta huko nje utaweza kusurvive
 
Tuanzie hapa,

una umri gani?
Una familia inyokutegemea kwa maana ya mke na watoto?
Unachoenda kusomea unahisi kina mantiki ukimaliza?
Una ndoto ya kuishi ulaya?

Sio kwa dharau lakini mshahara wa laki5 ni wa kima cha chini sana kukufanya uache kufuatilia ndoto zako, huo mshahara hata muuza genge anaepata faida ya 20k kwa siku au boda anaingiza kipato zaidi.

Bila kupepesa, ikiwa umejiridhisha, nenda kasome tena kasome kitu cha maana ukimaliza upate kazi huko huko ufanyr vitu vya maana na kuliingizia taifa fedha za kigeni.

Kama umri wako ni chini ya 35, ni sahihi kuchukua risk hiyo hata ukiachana na kazi ya serikali bado una muda wa kupigania ndoto zako....

Tofauti kubwa ya tanzania na majirani, wenzetu wanapeleka sana nguvu kazi nje ya nchi na inawasaidia sana mfano kenya, uganda, nigeria, ghana n.k ifike mahali badala ya vijana kusubiri ajira waende huko magharibi kwenye kazi na fursa fedha wanazopata wawekeze nyumbani.
 
Kaka ongea na mkurugenzi wako vizuri ATAELEWA tuu.
Mi niliajiriwa na Diploma nikapata ruhusa ya kwenda kusoma bachelor then hukohuko nikaunga mpaka masters (niliongea nae nilivyomaliza bachelor akanipata ruhusa ya kuunga).

Na sasa natafuta scholarship ya PhD, napambana sanaa na nitapata tu.

#YNWA
Una bahati kuunganisha ilikuwa enzi za Jakaya nn?
 
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri

Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.

Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.

Je niache kazi niende kusoma huko nje?

Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Ni pm tupeane mbinu na uzoefu
 
Sio wakurugenzi wote. Nongwa chawa wa kuanzia idarani!
Kuna Wakuu wa Idara nongwa hasaa ila wewe nenda kwa mkurugenzi.

Na husemi unaunga, omba kwanza level unayoenda, hilo la kuunga utajulia hukohuko chuo ukimaliza level uliyoifata.

#YNWA
 
Serikali I Hamna shida ukipata scholarship unaenda kupigwa shule, wakikuzingua unaomba likizo bila malipo unaondoka.
Ila omba tote ukiwa na document zimekamilika sio porojo kama ulizoandika hapa
 
Humu JF utoto mwingi siku hizi sanasana ni kuulizia tigo na ujingaujinga mtupu.

Inategemea unachoenda kusoma Ila kwanza jaribu kuomba ruhusa ukipata nafasi hiyo uone itakuwaje, fanya hata wakupe likizo isiyo na malipo. Then nenda kasome.

Ukikosa ruhusa nenda kasome kama kweli umejiridhisha Kuna shule na unapata hayo malipo maana yatakusaidia kuishi bila shida ina maana ukipiga kazi zako za kubeba box hela unasevu hata ukiamua kurudi unakuwa na kitu Cha kuanzia hata kabiashara fulani mitumba ya mashine ,magari nk.
 
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri

Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.

Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.

Je niache kazi niende kusoma huko nje?

Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Wewe ni muongo hakuna sehemu rahisi ya kupata ruhusa kwenda kusoma ukiwa mfanyakaxi wa serikali. Wengi tumesoma nje tukiwa wafanyakaxi wa serikalini. Omba watu wakusaidie kama umepata nafasi

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Nchi gani hii tujuze tukasome na sie...
 
Back
Top Bottom