Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

Ni kweli ni kama ukamatwa na police mpelelezi asio kua na cheo kabisa atakusumbua mpaka kukuuliza majina ya babu na bibi zako ili aonekane anajua kazi sana, wakati kesi yenyewe ni yakawaida ya madai tu...... utumishi wa umma wengi washamba wametokea familia duni.
Swaddakta
 
😂😂😂😂😂😂😂kwanini lakini, dah nimecheka Kwa sauti
Najaribu kuwaza ....

"Taarifa kwa umma...

Tumeona taarifa kutoka kwenye chanzo kimoja Cha mitandao ya kijamii ,mteja akilalamika kutopata huduma Toka kwenye taasisi yetu.

Tumefanya uchunguzi na kugundua kuwa hakukuwa na lugha ya kuudhi wala kejeli Bali ni mteja hakuelewa vizuri pindi alipoeleweshwa juu ya huduma zetu.

Tunapenda kuwahakikishia taasisi yetu inatosha huduma nzuri na kama Kuna tatizo ,mteja anaruhusiwa kuwasiliana na ofisi ya malalamiko au email yetu kwa msaada zaidi.

Ahsante."
 
Ofisi na taasis za serikali wengi hawajielewi.. customer care sifuri Tena sifuri... ndio maana nimechagua kuwa na pesa huduma nying nazifata private sector,, zenye ulazima uko serikalini natumia vishoka😅😅

Namwomba Mungu mpaka namalizia safar duniani nisikanyage hzo ofisi kichefuchefu za serikali.
 
Dah sawa Tajiri mkopeshaji nimekusoma
 
Unajua kwanini? Wiki ya mteja Huwa wanatafuta watu (ushers) WA kuhudumia wateja Huwa sio wao ndio maana huduma zinakuwa nzuri, ila watoa huduma WA kule ndani Zero😟😟😟
Ni walewale. Wa pale nawajua. Jamaa pale dirishani alikiwa muunhwana hadi nikashituka ndani kwa ndani
 
Lakini haya ni matokeo ya jamii tuliyoamua kuitengeneza.
Huko vyouni na mashuleni kuna watu wanasoma kozi ili mradi wahitimu wapate mshahara.
Ile spirit ya kuhumdumia mteja hawana.

tumesoma na watu ,unaona kabisa wateja katika eneo lake watapata tabu sana.

Kibaya hawa watu wanaachwa tuu,

Hebu fikiria kuna mfanyakazi ni mchelewaji, mlevi awapo eneo la kazi, anajibu wateja vibaya.
kwa sababu kashindikana , anaamishwa na kupelekwa kitengo cha supervision.
Yaani asimamie utendaji kazi wa wafanyakazi wenzie.

HUu mfano umewahi kutokea kwenye moja ya Taasisi Kubwa hapa Nchini.
 
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.

Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma?

Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma.

Pale kuna wale watoa huduma unaowakuta dirishani ukienda wanahisi wao wanakusaidia, wanakupa msaada wakati ni jukumu lao.

Mimi binafsi ni Mwanachama wa NHIF nimejiunga na kifurushi cha TIMIZA.

Sasa nilienda kuchukua kadi pale NHIF plae katika ofisi zao zilizopo kweye jengo la PSSF, nimefika pale namkuta mbaba pale dirishani, picha linaanza naenda dirishani ananiangalia tu, nikamwambia nimekuwa kuchukua kadi.

Akauliza kwahiyo? Heee nikamwambia kwahiyo? Ndo akauliza hiyo kadi ni yako au nikamwambia ndio, akasema nani kalipia nikamwambia mume wangu, hee akasema mpaka aje yeye ndio tutatoa hiyo kadi.

I was like what!!!! Ila nikasema sawa kwa sababu kila sehemu ina sheria labda ndio sheria, nikamuuliza kaka hii Sheria imeanza lini maana mimi ndio nilikuja kufuata kadi ya mume wangu pamoja na watoto, sasa inakuwaje unasema siwezi kuchukua kadi yangu mpaka yeye?

Akasema "Sina muda wa kuongea sasa hivi, sogea pembeni nihudumia mtu mwingine 😟😟."

Aisee nilikasirika, nikabaki nimesimama akasema nakuitia mlinzi, heee nikamuuliza kaka una shida Gani?

Hee mara mlinzi akafika pale ohooo mara nikapelekwa kwenye ofisi hapo NHIF.

Nikaanza kuulizwa nikaeleza kila kitu ndio nikahudumiwa. Tena yule mtu wa ofisini alikuwa anaongea vizuri hadi akaomba msamaha.

Wana JF hii sio mara ya kwanza linatoke swala kama hili pale NHIF, kuna siku pia nilienda kusajili nikakuta mhudumu anamfokea mteja pale dirishani, I was like hivi hii ni namna gani ya kutoa huduma?

Jamani NHIF embu jitahidini kutoa huduma nzuri kwa wateja yaani tulipie vifurushi bei kubwa na bado tukija ofisini kwenu mtugombeze?

Wana JF Naomba nijue kama hili suala limenikuta mimi tu au na nyie mmekutan

Wana JF Naomba nijue kama hili suala limenikuta mimi tu au na nyie mmekutana nalo
Nilipoteza kadi ya NHI na kupeleka ripiti ya polisi ili nipewe nyingine. Waliniambia niwe natumia kadi ya NIDA kwa vile nilikwishawapa wakaisajili kwao. Je huu ndio utaratibu? Kuna sehemu wanahitaji waone kadi
 
Pole sana mkuu hao ndo walivo ukienda Atcl utalia zaidi, pesa ni yako ila majibu kama kuna flight ni kubembelezana tu, huku anahudumia watenja huku ana chat na simu na workmate/mpenzi wana jisikia mpaka basi tu, hao watu wakistaafu siwaoneagi huruma kabisa, ukitoa waalimu wao wako peace [emoji111] sana sijui ni kwasbb ya mshahara mdogo.
Usijali, siku nikiwa Rais taasisi za umma watalipwa mshahara kulingana na mapato ya taasisi husika isipokuwa TRA!
Hakuna kundi la Watu wajinga kama watumishi WA serikali, ndio maana yakistaafu wanakufa mapema.
 
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika.

Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma?

Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma.

Pale kuna wale watoa huduma unaowakuta dirishani ukienda wanahisi wao wanakusaidia, wanakupa msaada wakati ni jukumu lao.

Mimi binafsi ni Mwanachama wa NHIF nimejiunga na kifurushi cha TIMIZA.

Sasa nilienda kuchukua kadi pale NHIF plae katika ofisi zao zilizopo kweye jengo la PSSF, nimefika pale namkuta mbaba pale dirishani, picha linaanza naenda dirishani ananiangalia tu, nikamwambia nimekuwa kuchukua kadi.

Akauliza kwahiyo? Heee nikamwambia kwahiyo? Ndo akauliza hiyo kadi ni yako au nikamwambia ndio, akasema nani kalipia nikamwambia mume wangu, hee akasema mpaka aje yeye ndio tutatoa hiyo kadi.

I was like what!!!! Ila nikasema sawa kwa sababu kila sehemu ina sheria labda ndio sheria, nikamuuliza kaka hii Sheria imeanza lini maana mimi ndio nilikuja kufuata kadi ya mume wangu pamoja na watoto, sasa inakuwaje unasema siwezi kuchukua kadi yangu mpaka yeye?

Akasema "Sina muda wa kuongea sasa hivi, sogea pembeni nihudumia mtu mwingine 😟😟."

Aisee nilikasirika, nikabaki nimesimama akasema nakuitia mlinzi, heee nikamuuliza kaka una shida Gani?

Hee mara mlinzi akafika pale ohooo mara nikapelekwa kwenye ofisi hapo NHIF.

Nikaanza kuulizwa nikaeleza kila kitu ndio nikahudumiwa. Tena yule mtu wa ofisini alikuwa anaongea vizuri hadi akaomba msamaha.

Wana JF hii sio mara ya kwanza linatoke swala kama hili pale NHIF, kuna siku pia nilienda kusajili nikakuta mhudumu anamfokea mteja pale dirishani, I was like hivi hii ni namna gani ya kutoa huduma?

Jamani NHIF embu jitahidini kutoa huduma nzuri kwa wateja yaani tulipie vifurushi bei kubwa na bado tukija ofisini kwenu mtugombeze?

Wana JF Naomba nijue kama hili suala limenikuta mimi tu au na nyie mmekutana nalo
Sasa ungeulizwa swali aliloulizwa na polisi mstaafu kwanini anashinda vijiweni hatafuti kazi si ungezimia.
 
Ww pale pale alipokwambia kwahiyo........ilitakiwa umjibu matko yako
 
Lakini haya ni matokeo ya jamii tuliyoamua kuitengeneza.
Huko vyouni na mashuleni kuna watu wanasoma kozi ili mradi wahitimu wapate mshahara.
Ile spirit ya kuhumdumia mteja hawana.

tumesoma na watu ,unaona kabisa wateja katika eneo lake watapata tabu sana.

Kibaya hawa watu wanaachwa tuu,

Hebu fikiria kuna mfanyakazi ni mchelewaji, mlevi awapo eneo la kazi, anajibu wateja vibaya.
kwa sababu kashindikana , anaamishwa na kupelekwa kitengo cha supervision.
Yaani asimamie utendaji kazi wa wafanyakazi wenzie.

HUu mfano umewahi kutokea kwenye moja ya Taasisi Kubwa hapa Nchini.
Ni mbaya sana kiongozi, na Hali hii ndo tushailea na itatucost sana tu
 
Back
Top Bottom