Nimepata kazi hapa Jijini Dar, wenyeji naombeni ushauri kwa hili

Mbinu zinatokana na mazingira aliyopo mwenyew anajua, ukiwa mtu wa kuona negativity sana huwez kuona opportunity ilo ndo analokosea, nikisema show time zile mwnyw ananielewa. Sikuzote kwny maisha ukienda kilokole huwez kufika unapopataka na ukiwa mwanaume haipaswi kuwa mtu wa kunung'unika
Kwa hakika hili Ni neno kuntu. Ulokole ubaki nyumbani. Shots zinaweza kumpa buku tano kila siku out of mshahara.
Plus zile za niitie demu.....kitaa shule
 
Wewe jamaa ni zaidi ya lipuuzi sana, halafu unajifanya lijuaji sana.

Usinilaumu Mimi bali isemavyo ' Signature ' yangu ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' sawa? Fool kabisa Wewe.
 
Usikae bure, pambana huku unaweka malengo. Ukipata pesa kidogo angalia unaweza kufanya nini kingine cha tofauti.
 
Usinilaumu Mimi bali isemavyo ' Signature ' yangu ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' sawa? Fool kabisa Wewe.
Wewe bogus kabisa, Kama ni mwerevu why usiwe unachangia nyuzi bila kuwakashifu na kujiona wewe ni bora.

Hizo ni tabia za WAPUMBAVU, na hata wewe ni zaidi ya mpumbavu..hai ndio kutwa kujisifia kama ufanyavyo wewe
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana.

Ndipo ikatokea nikapata mahali walikuwa wanahitaji msimamizi wa nyumba za kulala wagenin(Guest house) hapa Dar.

Sasa ndugu zangu changamoto ninazozipata huku ni nyingi mno kwa kuwa mimi ndiye mfuaji wa mashuka na pia mimi ndiye kama mlinzi maana wakati mwingine mtu anaweza kukugongea umpe chumba hata saa 8 usiku na huku bado kipato ni kidogo mno japo nakula na kulala hapa hapa

Duh! Wadau nishaurini mana hata nikisema niache hii kazi inayoninyima usingizi sina popote pa kwenda mara nyingine najihisi mkiwa hasa ninapokumbuka nakujishangaa mno kama ni kweli mimi ndiye nimekuwa hivi!

Eee Mungu Baba unitie nguvu kwa kweli
WAKATI UNAANDIKA MAOMBI ULIOMBA USHAURI HAPA??
 
Fua mashuka, osha vyombo, amshwa saa nane usiku..beba kila aina ya upuuzi wa kazi lakini usiache kazi.

Sababu kuu ni kuwa huna plan B, huwez kurudi kwa aunt wala huna pa kukaa.

USIACHE KAZI ILI UTAFUTE KAZI, FANYA KAZI ILI UPATE KAZI NYINGINE
 
Kwa damu yang yenye uchaga naona Apo ni sehm ambayo utapiga ela sana ukiwa na akili ya kujiongeza. Hasa izi showtime mm nikiondoka apo baada ya mwaka sio mm tena boss ataniamkia. Tena naweka target zangu kwa siku

Mimi nipate iyo nafas basi
Kuna guest house zingine haziruhusu kbs showtime, Bosi anakuwekea masnitch ukipokea tu hela ya showtime akijua huna kazi
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana.

Ndipo ikatokea nikapata mahali walikuwa wanahitaji msimamizi wa nyumba za kulala wagenin(Guest house) hapa Dar.

Sasa ndugu zangu changamoto ninazozipata huku ni nyingi mno kwa kuwa mimi ndiye mfuaji wa mashuka na pia mimi ndiye kama mlinzi maana wakati mwingine mtu anaweza kukugongea umpe chumba hata saa 8 usiku na huku bado kipato ni kidogo mno japo nakula na kulala hapa hapa

Duh! Wadau nishaurini mana hata nikisema niache hii kazi inayoninyima usingizi sina popote pa kwenda mara nyingine najihisi mkiwa hasa ninapokumbuka nakujishangaa mno kama ni kweli mimi ndiye nimekuwa hivi!

Eee Mungu Baba unitie nguvu kwa kweli
Kama tatizo ni usingizi si ulale mchana then ikifika usiku upambane ya hela yote

Hakuna kazi nyepesi Mkuu hasa kama ndio unaanza maisha

Sasahivi graduates wanafanya kazi za ajabu za kutumia nguvu nyingi kuliko akili.
 
Sawa na wale wanaopitiliza muda Ile anayozidisha si yako au utampatia nayo boss, mfano huyo anaamshwa saa8 usiku anashindwa kuongeza bei, bei elekezi labda 15 unamwambia kimebaki kimoja cha elfu 25 nitakufanyia 20 ila asubuhi uwahi kuondoka kabla boss hajafika, ukiendelea utatoa iyo25 uone km iyo saa8 usk atachomoa. Mda mwngne kupga ni akili yako tuu. Njia za kupiga ni nying na kuzuia ni ngumu sana
Kuna guest house zingine haziruhusu kbs showtime, Bosi anakuwekea masnitch ukipokea tu hela ya showtime akijua huna kazi
 
Mbona wengine Tuna kidgr!! Afu Tulijitolea JKT Nako Tumetupwa Sahv Ni Security Guard Tunsurvive"" Na 250 K kwa mwezi....

Nimeshinee mwenyewe ....... Hla 1 day yes!!!!!!! Komaa Boy Acha [emoji480] kulialia kama, last son[emoji41]
 
Wadau nashkuruni sana wale mnaozidi kunitia moyo pia sijawasahau wale wanaonishambulia,

Kikubwa ni pumzi, hivyo sina budi kushukuru
 
Mbona wengine Tuna kidgr!! Afu Tulijitolea JKT Nako Tumetupwa Sahv Ni Security Guard Tunsurvive"" Na 250 K kwa mwezi....

Nimeshinee mwenyewe ....... Hla 1 day yes!!!!!!! Komaa Boy Acha [emoji480] kulialia kama, last son[emoji41]
unanitia moyo sana kaka
 
Fua mashuka, osha vyombo, amshwa saa nane usiku..beba kila aina ya upuuzi wa kazi lakini usiache kazi.

Sababu kuu ni kuwa huna plan B, huwez kurudi kwa aunt wala huna pa kukaa.

USIACHE KAZI ILI UTAFUTE KAZI, FANYA KAZI ILI UPATE KAZI NYINGINE
ubarikiwe kaka
 
Kuna mbinu ambazo wenyekazi Kama zako wanatumia,japo sio ya halili, Ila Kuna hela ya vyumba unaipiga mfuko wa nyuma,kwa mfano mteja anakuja saa7,alafajiri anasepa hiyo pesa bosi itapaswa kumpita kushoto.Lakini pambana hapohapo wakati unatafutwa kazi nyingine nzuri.Tafta connection,apply kazi kwenye kampuni nyingi zaidi,ili ukibahatika mojawapo Basi Mungu atakuwa amekufungulia njia.Ila usiache kazi hii,tafuta connection hata kwa wageni wanaolala hapo ambao unahisi wananafasi nzuri kwenye makampuni
mkuu mbona kama nakufananisha!! upo mkoa gani??
 
Back
Top Bottom