Nimepata kazi hapa Jijini Dar, wenyeji naombeni ushauri kwa hili

Nimepata kazi hapa Jijini Dar, wenyeji naombeni ushauri kwa hili

Kwa damu yang yenye uchaga naona Apo ni sehm ambayo utapiga ela sana ukiwa na akili ya kujiongeza. Hasa izi showtime mm nikiondoka apo baada ya mwaka sio mm tena boss ataniamkia. Tena naweka target zangu kwa siku



Mimi nipate iyo nafas basi
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana.

Ndipo ikatokea nikapata mahali walikuwa wanahitaji msimamizi wa nyumba za kulala wageni (Guest house) hapa Dar.

Sasa ndugu zangu changamoto ninazozipata huku ni nyingi mno kwa kuwa mimi ndiye mfuaji wa mashuka na pia mimi ndiye kama mlinzi maana wakati mwingine mtu anaweza kukugongea umpe chumba hata saa 8 usiku na huku bado kipato ni kidogo mno japo nakula na kulala hapa hapa

Duh! Wadau nishaurini mana hata nikisema niache hii kazi inayoninyima usingizi sina popote pa kwenda mara nyingine najihisi mkiwa hasa ninapokumbuka nakujishangaa mno kama ni kweli mimi ndiye nimekuwa hivi

Eee Mungu Baba unitie nguvu kwa kweli
Kazi utapata kupitia wateja wako hao hao wa kutoka Dar kwenda Dar just a matter of connection.Hiyo ndo hub yako!
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana.

Ndipo ikatokea nikapata mahali walikuwa wanahitaji msimamizi wa nyumba za kulala wageni (Guest house) hapa Dar.

Sasa ndugu zangu changamoto ninazozipata huku ni nyingi mno kwa kuwa mimi ndiye mfuaji wa mashuka na pia mimi ndiye kama mlinzi maana wakati mwingine mtu anaweza kukugongea umpe chumba hata saa 8 usiku na huku bado kipato ni kidogo mno japo nakula na kulala hapa hapa

Duh! Wadau nishaurini mana hata nikisema niache hii kazi inayoninyima usingizi sina popote pa kwenda mara nyingine najihisi mkiwa hasa ninapokumbuka nakujishangaa mno kama ni kweli mimi ndiye nimekuwa hivi

Eee Mungu Baba unitie nguvu kwa kweli
Kuna guest moja niliwahi kulala nikiwa Zanzibar, nikawa nahitaji demu wa kunipa kampani usiku huo , yule msimamizi wa ile guest akataka nilale ila kwa jinsi alivyo ikabidi nimdanganye kwamba nitampigia simu.
 
Wewe umehitimu mwaka jana tu unasema umekaa kitaa miaka mingi!!

Sema hayo mashuka yenye shahawa ni full kuteleza dadadeeki, ni wapi hapo nije kuunga juhudi?
 
Mkuu hiyo ni fursa kubwa sana tena sana.
Achana na mindset za kilokole.

Kwanza anza kutengeneza network na wanawake malaya wa maeneo ulipo,wazoee na hakikisha una namba zao za simu karibia wote na unawaheshimu kama dada zako tu.

Pili anza kuwatengenezea wateja wako wa kiume hasa hasa wageni mazoea ya kuwatafutia wanawake,ila sasa fanya hivi,weka utaratibu wa kuwakowadia kwa kutaja bei kabisa kwa mteja kama mwanamke anataka 20000 wewe taja 30000 na hiyo pesa ukabidhiwe wewe kabisa na mdada ataichukua asubuhi kaunta.
 
Wadau nashkuruni sana wale mnaozidi kunitia moyo pia sijawasahau wale wanaonishambulia,

Kikubwa ni pumzi, hivyo sina budi kushukuru
Guest yako iko wapi nije nikuungishe na showtime
 
Back
Top Bottom