Nimepata kazi hapa Jijini Dar, wenyeji naombeni ushauri kwa hili

Kwa hakika hili Ni neno kuntu. Ulokole ubaki nyumbani. Shots zinaweza kumpa buku tano kila siku out of mshahara.
Plus zile za niitie demu.....kitaa shule
 
Wewe jamaa ni zaidi ya lipuuzi sana, halafu unajifanya lijuaji sana.

Usinilaumu Mimi bali isemavyo ' Signature ' yangu ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' sawa? Fool kabisa Wewe.
 
Usikae bure, pambana huku unaweka malengo. Ukipata pesa kidogo angalia unaweza kufanya nini kingine cha tofauti.
 
Usinilaumu Mimi bali isemavyo ' Signature ' yangu ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' sawa? Fool kabisa Wewe.
Wewe bogus kabisa, Kama ni mwerevu why usiwe unachangia nyuzi bila kuwakashifu na kujiona wewe ni bora.

Hizo ni tabia za WAPUMBAVU, na hata wewe ni zaidi ya mpumbavu..hai ndio kutwa kujisifia kama ufanyavyo wewe
 
WAKATI UNAANDIKA MAOMBI ULIOMBA USHAURI HAPA??
 
Fua mashuka, osha vyombo, amshwa saa nane usiku..beba kila aina ya upuuzi wa kazi lakini usiache kazi.

Sababu kuu ni kuwa huna plan B, huwez kurudi kwa aunt wala huna pa kukaa.

USIACHE KAZI ILI UTAFUTE KAZI, FANYA KAZI ILI UPATE KAZI NYINGINE
 
Kwa damu yang yenye uchaga naona Apo ni sehm ambayo utapiga ela sana ukiwa na akili ya kujiongeza. Hasa izi showtime mm nikiondoka apo baada ya mwaka sio mm tena boss ataniamkia. Tena naweka target zangu kwa siku



Mimi nipate iyo nafas basi
Kuna guest house zingine haziruhusu kbs showtime, Bosi anakuwekea masnitch ukipokea tu hela ya showtime akijua huna kazi
 
Kama tatizo ni usingizi si ulale mchana then ikifika usiku upambane ya hela yote

Hakuna kazi nyepesi Mkuu hasa kama ndio unaanza maisha

Sasahivi graduates wanafanya kazi za ajabu za kutumia nguvu nyingi kuliko akili.
 
Sawa na wale wanaopitiliza muda Ile anayozidisha si yako au utampatia nayo boss, mfano huyo anaamshwa saa8 usiku anashindwa kuongeza bei, bei elekezi labda 15 unamwambia kimebaki kimoja cha elfu 25 nitakufanyia 20 ila asubuhi uwahi kuondoka kabla boss hajafika, ukiendelea utatoa iyo25 uone km iyo saa8 usk atachomoa. Mda mwngne kupga ni akili yako tuu. Njia za kupiga ni nying na kuzuia ni ngumu sana
Kuna guest house zingine haziruhusu kbs showtime, Bosi anakuwekea masnitch ukipokea tu hela ya showtime akijua huna kazi
 
Mbona wengine Tuna kidgr!! Afu Tulijitolea JKT Nako Tumetupwa Sahv Ni Security Guard Tunsurvive"" Na 250 K kwa mwezi....

Nimeshinee mwenyewe ....... Hla 1 day yes!!!!!!! Komaa Boy Acha [emoji480] kulialia kama, last son[emoji41]
 
Wadau nashkuruni sana wale mnaozidi kunitia moyo pia sijawasahau wale wanaonishambulia,

Kikubwa ni pumzi, hivyo sina budi kushukuru
 
Mbona wengine Tuna kidgr!! Afu Tulijitolea JKT Nako Tumetupwa Sahv Ni Security Guard Tunsurvive"" Na 250 K kwa mwezi....

Nimeshinee mwenyewe ....... Hla 1 day yes!!!!!!! Komaa Boy Acha [emoji480] kulialia kama, last son[emoji41]
unanitia moyo sana kaka
 
Fua mashuka, osha vyombo, amshwa saa nane usiku..beba kila aina ya upuuzi wa kazi lakini usiache kazi.

Sababu kuu ni kuwa huna plan B, huwez kurudi kwa aunt wala huna pa kukaa.

USIACHE KAZI ILI UTAFUTE KAZI, FANYA KAZI ILI UPATE KAZI NYINGINE
ubarikiwe kaka
 
mkuu mbona kama nakufananisha!! upo mkoa gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…