Kwa damu yang yenye uchaga naona Apo ni sehm ambayo utapiga ela sana ukiwa na akili ya kujiongeza. Hasa izi showtime mm nikiondoka apo baada ya mwaka sio mm tena boss ataniamkia. Tena naweka target zangu kwa siku
Mimi nipate iyo nafas basi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lazima ufue, shuka zenye shahawa za mwaume mwenzako
Kazi utapata kupitia wateja wako hao hao wa kutoka Dar kwenda Dar just a matter of connection.Hiyo ndo hub yako!Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana.
Ndipo ikatokea nikapata mahali walikuwa wanahitaji msimamizi wa nyumba za kulala wageni (Guest house) hapa Dar.
Sasa ndugu zangu changamoto ninazozipata huku ni nyingi mno kwa kuwa mimi ndiye mfuaji wa mashuka na pia mimi ndiye kama mlinzi maana wakati mwingine mtu anaweza kukugongea umpe chumba hata saa 8 usiku na huku bado kipato ni kidogo mno japo nakula na kulala hapa hapa
Duh! Wadau nishaurini mana hata nikisema niache hii kazi inayoninyima usingizi sina popote pa kwenda mara nyingine najihisi mkiwa hasa ninapokumbuka nakujishangaa mno kama ni kweli mimi ndiye nimekuwa hivi
Eee Mungu Baba unitie nguvu kwa kweli
Kuna guest moja niliwahi kulala nikiwa Zanzibar, nikawa nahitaji demu wa kunipa kampani usiku huo , yule msimamizi wa ile guest akataka nilale ila kwa jinsi alivyo ikabidi nimdanganye kwamba nitampigia simu.Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana.
Ndipo ikatokea nikapata mahali walikuwa wanahitaji msimamizi wa nyumba za kulala wageni (Guest house) hapa Dar.
Sasa ndugu zangu changamoto ninazozipata huku ni nyingi mno kwa kuwa mimi ndiye mfuaji wa mashuka na pia mimi ndiye kama mlinzi maana wakati mwingine mtu anaweza kukugongea umpe chumba hata saa 8 usiku na huku bado kipato ni kidogo mno japo nakula na kulala hapa hapa
Duh! Wadau nishaurini mana hata nikisema niache hii kazi inayoninyima usingizi sina popote pa kwenda mara nyingine najihisi mkiwa hasa ninapokumbuka nakujishangaa mno kama ni kweli mimi ndiye nimekuwa hivi
Eee Mungu Baba unitie nguvu kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ngumu sana hiyo manake watu wakipigana mijeredi unasikia.
Guest yako iko wapi nije nikuungishe na showtimeWadau nashkuruni sana wale mnaozidi kunitia moyo pia sijawasahau wale wanaonishambulia,
Kikubwa ni pumzi, hivyo sina budi kushukuru