Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

mmmzzz

Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
22
Reaction score
54
Naomben ushauri nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa. Ni mtu wa Kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukweli nipo kwenye mawazo makali sana. Naomben ushauri nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
 
Back
Top Bottom