Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
Ni afadhali ungesema Dodoma tu ili kuficha hiyo kondoa.
 
Bikra zilivyo adimu miaka hii, wewe unapata kitu piru unaleta siasa.

Watu mnapenda matatizo.
Wanasemaga shortcut ni long cut hio sio shida ya sasa hiyo ni shida ya baadae kama unabisha muulize professa jay kwenye Nikusaidiaje
 
Nikipata bikra mwenye 20+ naoa

Kiukweli kabisa hata mimi nikipata wa hivyo, itabidi niingie kwenye kikao kikali sana na wajumbe wa Chama changu cha Kataa Ndoa kuweza kuangazia Mustakabali wa Uanachama wangu.

Yani ikiwezekana nipewe Uanachama Pacha.... Niwe Kataa ndoa na pia niwe ndoani kimitego mitego.
 
[emoji28]
 
umejuaje lakini mkuu,,wewe sio mmojawapo kweli?
Mm sio mmoja wao kuna rafiki yangu hii ndo kazi yake mpaka now yuko 30+ ila hizo mishe haachi mjinga yule.

Ajabu nae huku below 14 kuna vitoto anakuta wahuni washavibetu tayari, hii dunia hii
 
Wanasemaga shortcut ni long cut hio sio shida ya sasa hiyo ni shida ya baadae kama unabisha muulize professa jay kwenye Nikusaidiaje
Na wewe ukioata mwanamke bikra hutaoa kisa shida ya baadae??

Enewei kama unae nipe nimbikiri halafu arudi kwako umuoe.

Yaani kwako mwanamke anaekufaa ni yule aliebanduliwa tayari, ajabu hii.
 
Wakuu mnasemaga humu kama dem sio bikra ukioa unakua umeoa mke wa mtu…. KWAHIYO NIWEKE NDAN HII MALI AU NIACHE TU…. Maomben ushaur wa mwisho nyie ndo mnajua mambo Mengi watu wa hum nawakubal sana akili kubwa
Kama kuoa unasubiri ushauri wa watu wa humu basi kazi ipo
 
Back
Top Bottom