Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

Hiyo ni hewa tu, kaend kwenye maombi tafuta mume, Mume naye kaenda huko anasema huyu mtii na anapenda Mungu, kumbe targeted Market..
bro mbona uko na makasiriko? au kausha damu ijumaa?!
 
Na sisi wa upande wa pili tuje kanisani au?
 
me nadhani kabla hujahukumu, ungerudia kusoma uzi, ameeleza vizuri kuwa hayuko desperate!
Nimeusoma. Na wala sijasema yuko desperate. Hakuna niliposema hilo.

Lakini hata hivyo, mtu kusema hayuko desperate haina maana kwamba hayuko desperate.

Nyuzi hizi, wingi wake, mnavyoulizanaulizana, mnatuletea maswali.

Hivi, kumpata mchumba wa kiume kwa sasa ni kitu fulani big deal hivyo?

Au inakuwaje mpaka tuone habari hizi zinakuwa front sana?

Wanawake wanakwenda makanisani sana, wengine ni kama wanahamia huko, wanawake wanaroga sana.

Kutaka kuolewa tu.

Tatizo ni nini?

Hakuna waoaji?

Wanawake wenyewe wana anxiety tu?

Mbona hivi?
 
si mmegoma kuzama chumvini? mnatakaje?!
 
Preeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeach Preacher! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaelewa kuwa unakataa kwamba wanawake wako desperate, halafu unakubali kuwa competition inakuwa kubwa hivyo una imply kuwa wanawake wanazidi kuwa desperate by simple laws of demand and supply hapohapo?
 
Unaelewa kuwa unakataa kwamba wanawake wako desperate, halafu unakubali kuwa competition inakuwa kubwa hivyo una imply kuwa wanawake wanazidi kuwa desperate by simple laws of demand and supply hapohapo?
sio kweli, nachounga mkono ni kwamba Bwana Yesu bado anatoa waume kama mvua!
 
Tatizo mkivua nguo tu Getto linachange atmosphere panageuka forodhani.. nani akaweke kinywa chake anachofanyia ibada kwenye huo mgodi
kuna uzi nauandaa kwa ajili yako utalala unalia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…