JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Nishati mbadala, renewable energy,blue economyHabarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Lazima zirejeshwe na riba ipo. Ila sio kubwa.Meneja Wa Makampuni ivi izo grants ni refundable?
Ooho okayLazima zirejeshwe na riba ipo. Ila sio kubwa.
Anzisha mradi wa kusambaza gesi kwa mabomba dar nzimaSio wewe nipe hiyo miradi. Nipo makini sana boss. Hao wanigeria Mimi nawajua
madini baadhi ya aina za madini nichek tugawane sharesHabarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Mmmm??!!!Lazima zirejeshwe na riba ipo. Ila sio kubwa.
Ni makampuni sio jamaa. Ninamakampuni kibao yanayotoa fund. Lazima tukubali kujifunza kwa mambo ambayo hatuyajui ndipo tunaweza kuendelea. Funding zipo ila vijana hatuna uwezo wa kuziaccessMmmm??!!!
Hiyo miradi 3 huwezi extend mfano kukawa na matawi nchi nzima na nje ya nchi? Au ukaongeza ubora?
Japo mi naona huyo jamaa hana lolote.
Kwahyo niwe mwanafunz unifundishe na mimiNi makampuni sio jamaa. Ninamakampuni kibao yanayotoa fund. Lazima tukubali kujifunza kwa mambo ambayo hatuyajui ndipo tunaweza kuendelea. Funding zipo ila vijana hatuna uwezo wa kuziaccess
Njoo tufanye hiii fedha itarudi mapemaKuna miradi miwili kila mmoja unaweza kutumia hizo fedha.
1.maji
2.umeme,
Karibu pm, nikuelekeze wapi Kuna hizo changamoto!
Sent using Jamii Forums mobile app
JoblessHabarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Mwambia huyo mwenye pesa atengeneze Metro train jijini Dar iwe inazunguka mji mzima kutakuwa na hakuna tena shida ya usafiri jijini Dares-Salaam mradi mkubwa sana huo na utamletea pesa nyingi sana. Angalia Metro train za jiji la istanbul nchini Uturuki hapo chini. 👇Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Ok nasubiri mrejesho wa ubilionea wakoUsije ukamwona Rais Samia anapewa pesa na donors ukadhani ni rahisi tu. She is fighting. Ni vyema ungetumia muda kuuliza wenzako wanawakuta hao watu wapi na wanawapataje.
Mbona hukumuelewa. Yeye kasema ameandika propoisal/writeup akaambiwa kuwa wao wana"sponsor" kuanzia kiasi fulani, kwa hiyo kama anataka aandike mradi upya wenye kiwango husika auwasilishe. Hapo umeshindwa kuelewa nini?Yani pledge imekuja bila hata wazo la mradi
😂😂
Na bila aibu unaandika jambo kama hilo kwa uma