Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Nishati mbadala, renewable energy,blue economy
 
madini baadhi ya aina za madini nichek tugawane shares
 
Mmmm??!!!

Hiyo miradi 3 huwezi extend mfano kukawa na matawi nchi nzima na nje ya nchi? Au ukaongeza ubora?

Japo mi naona huyo jamaa hana lolote.
Ni makampuni sio jamaa. Ninamakampuni kibao yanayotoa fund. Lazima tukubali kujifunza kwa mambo ambayo hatuyajui ndipo tunaweza kuendelea. Funding zipo ila vijana hatuna uwezo wa kuziaccess
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Jobless
 
It doesn’t make any sense.

Umepata mtu anataka kukupatia Tzs116 billion kwaajili yakuanzisha mradi kisa umeandika proposal?

You can’t be serious man.

Pesa kiasi hicho inatolewa kwa project/business zilizosimama tayari. Tena chini ya project manager au CEO kwenye uzoefu na ujuzi usio na mawaa

Tofauti na hapo umefeli.
 
Njoo Arusha Tafuta eneo kubwa Nunua, Jenga kijiji cha Mahoteli apo , weka miundo mbinu imara hapo , barabara, luxualy hospital, Nunua magari kwa ajili ya Kufacilitate shughuri za kiutalii kama kupokelea watalii, kutembeza watalii nk, Jenga, sehemu za michezo kama Golf, Tenis nk , hivyo vyote viwe ndani ya hiyo project I mean iwe package moja yenye vitu vyote hivyo.

Nimeandika rough sana, but unaweza extract something from hapo na hiyo hela ya boss wako ikawa bado inapelea kufadhili hii kitu.
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Mwambia huyo mwenye pesa atengeneze Metro train jijini Dar iwe inazunguka mji mzima kutakuwa na hakuna tena shida ya usafiri jijini Dares-Salaam mradi mkubwa sana huo na utamletea pesa nyingi sana. Angalia Metro train za jiji la istanbul nchini Uturuki hapo chini. 👇

Mradi Mwengine mkubwa kwa hapo Tanzania ni kutengeneza Daraja inayopita chini ya bahari kutoka mjini Dares-Salaam Mpaka mjini unguja aka Zanzibar Mradi huo ni Mkubwa sana na wenye faida nyingi.
Au atengeneze Treni inayo pita chini ya bahari toka mjini Dar mpaka Zanzibar. Au baraba inayopita chini ya bahari toka mjini Dar Mpaka mjini Zanzibar .

Mie nkakae najadil jins ya ku manage mabilion wakat ht milion 2 bank sina takua mtu wazimu
 
Attachments

  • IMG_2804.JPG
    IMG_2804.JPG
    7.9 KB · Views: 7
Kwa hiyo pesa kuna vitu vingi sana vya kufanya, kama hutaki shida fumua skyscraper moja iliyoshiba ukibakiza change ongeza property management company yenye standard ya hali ya juu ambayo haijawahi kuonekana Africa, ila kuna member hapo juu kasema pharmaceutical nafikiri inalipa maana hii nchi mpaka asprin tunaagiza
 
Yani pledge imekuja bila hata wazo la mradi
😂😂
Na bila aibu unaandika jambo kama hilo kwa uma
Mbona hukumuelewa. Yeye kasema ameandika propoisal/writeup akaambiwa kuwa wao wana"sponsor" kuanzia kiasi fulani, kwa hiyo kama anataka aandike mradi upya wenye kiwango husika auwasilishe. Hapo umeshindwa kuelewa nini?
 
Back
Top Bottom