Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #221
Shukrani sana boss. Rais Samia anafanya kazi kubwa sana kututafutia wafadhili nje ya nchi. Mungu amsaidie sana.Hata siwahitaji hakuna maisha mepesi na hakuna pesa Rahisi pia maisha ni process ila nakutakia Kila la heri
Madini
Huwezi kupata mfadhili bila writeup ya mradi.
Kama ni kweli unamaanisha njoo pm nikupe nondo za investment uchaguwe.
In shot kuna mining sector, kuna real estate, kuna hospitality, kuna tourism na michongo kibao.
Kama upo serious njoo.
Kabisaa...Sio MNAIJERIA huyo muwekezaji?
Utakatishaji pesaHuyo mfadhili ni mjinga kiasi gani hadi aahidi hela hizo bila kujua anazipeleka kwenye mradi gani au bila business plan.
Unatoa siri Nkuu, idea yangu hii ila pesa Sina πππHizo pesa unaanzisha kiwanda cha madawa bila shida yeyote
Au kiwanda cha vifaa tiba kama vile gloves, syringes, cannula
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Hivi Tz tunayo Lithium? Au achimbe wapi mkuu?Njoo mchimbe Lithium,,ni bonge la project
Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Hivi hadi hii leo Tanzania hatuna hivi viwanda?Kule Mwanza niliwahi kuona kampuni nyingi zinahusu mambo ya samaki japo sikujua wanasindika au laNenda ukerewe huko weka kiwanda cha kusindika minofu ya samaki, safirisha nje!! Utakuja kunishukuru baadae maana kule samaki utawapata kirahisi sana.
Nilijua tu lazima kuna shida mahali maana wahindi ni wajanja sana wa kuchungulia fursa wasingeiacha fursa ielee tuRamadhani Madabida baada ya kukosana na wana Ccm wenzake aliambiwa anatengeneza ARV fake kwenye kiwanda chake na akafikishwa mahakamani.
Huko Msd kwenyewe tu ni hekaheka tupu.
Ni ubabaishaji tu ndo hayo unayoskia hadi watu wanaamua kutunza samaki kwa kutumia dawa za maji ya kuoshea maiti. Ukosefu wa viwanda vya kusindika minofu bidhaa zinakosa soko maalumu.Hivi hadi hii leo Tanzania hatuna hivi viwanda?Kule Mwanza niliwahi kuona kampuni nyingi zinahusu mambo ya samaki japo sikujua wanasindika au la
Umewaza mbaliUtakatishaji pesa
Inaokana zipo mahali.Zinakiwa kutolewa zote kwa mpigo kuja akaunti ya mradi
Waje kuzitolea huku
ooh sawaNi ubabaishaji tu ndo hayo unayoskia hadi watu wanaamua kutunza samaki kwa kutumia dawa za maji ya kuoshea maiti. Ukosefu wa viwanda vya kusindika minofu bidhaa zinakosa soko maalumu.
Uko wapi uwo mgodi tuje kaka.Njoo mchimbe Lithium,,ni bonge la project
Knowledge is free online kw watu weupe, lakini naona ninyi mmeanza kuitana pmHuwezi kupata mfadhili bila writeup ya mradi.
Kama ni kweli unamaanisha njoo pm nikupe nondo za investment uchaguwe.
In shot kuna mining sector, kuna real estate, kuna hospitality, kuna tourism na michongo kibao.
Kama upo serious njoo.
Ahsante kwa ushauri mzuri. Wewe endelea kushangaa πππ. Ni vyema ungetulia chini na kuuliza sisi tunafanyaje kufanya hivyo.
Wanijeria tumeishi nao tunawaelewa boss.Chonde chonde mfadhili asiwe anatoka moja ya nchi za Afrika magharibi