Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Hata siwahitaji hakuna maisha mepesi na hakuna pesa Rahisi pia maisha ni process ila nakutakia Kila la heri
Shukrani sana boss. Rais Samia anafanya kazi kubwa sana kututafutia wafadhili nje ya nchi. Mungu amsaidie sana.
 
Huwezi kupata mfadhili bila writeup ya mradi.

Kama ni kweli unamaanisha njoo pm nikupe nondo za investment uchaguwe.

In shot kuna mining sector, kuna real estate, kuna hospitality, kuna tourism na michongo kibao.

Kama upo serious njoo.

Real estate na madini ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Nenda ukerewe huko weka kiwanda cha kusindika minofu ya samaki, safirisha nje!! Utakuja kunishukuru baadae maana kule samaki utawapata kirahisi sana.
 
Huyo mfadhili ni mjinga kiasi gani hadi aahidi hela hizo bila kujua anazipeleka kwenye mradi gani au bila business plan.
Utakatishaji pesa

Inaokana zipo mahali.Zinakiwa kutolewa zote kwa mpigo kuja akaunti ya mradi
Waje kuzitolea huku
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana

Ushapangwa, Utapigwa $300 za kutumiwa 114 bn.
 
Nenda ukerewe huko weka kiwanda cha kusindika minofu ya samaki, safirisha nje!! Utakuja kunishukuru baadae maana kule samaki utawapata kirahisi sana.
Hivi hadi hii leo Tanzania hatuna hivi viwanda?Kule Mwanza niliwahi kuona kampuni nyingi zinahusu mambo ya samaki japo sikujua wanasindika au la
 
Ramadhani Madabida baada ya kukosana na wana Ccm wenzake aliambiwa anatengeneza ARV fake kwenye kiwanda chake na akafikishwa mahakamani.

Huko Msd kwenyewe tu ni hekaheka tupu.
Nilijua tu lazima kuna shida mahali maana wahindi ni wajanja sana wa kuchungulia fursa wasingeiacha fursa ielee tu
 
Billion 116..?

Mining industry [emoji777]

Transportation [emoji777]

Agriculture [emoji736]

Nakuambia chakula ni kila kitu, nenda lima tafuta mazao mawili tuu ambayo yana uhutaji huko nje ya bara la Africa, ndani ya miaka mitano hiyo hela inarudi mara 2
 
Hivi hadi hii leo Tanzania hatuna hivi viwanda?Kule Mwanza niliwahi kuona kampuni nyingi zinahusu mambo ya samaki japo sikujua wanasindika au la
Ni ubabaishaji tu ndo hayo unayoskia hadi watu wanaamua kutunza samaki kwa kutumia dawa za maji ya kuoshea maiti. Ukosefu wa viwanda vya kusindika minofu bidhaa zinakosa soko maalumu.
 
Huwezi kupata mfadhili bila writeup ya mradi.

Kama ni kweli unamaanisha njoo pm nikupe nondo za investment uchaguwe.

In shot kuna mining sector, kuna real estate, kuna hospitality, kuna tourism na michongo kibao.

Kama upo serious njoo.
Knowledge is free online kw watu weupe, lakini naona ninyi mmeanza kuitana pm
 
Back
Top Bottom