Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Peleke Meli kubwa ya Uvuvi ziwa Tanganyika uvune wale samaki na Dagaa, wana Demand kubwa sana Ulaya shida ni dhana hafifu za kuvua kwenye lile ziwa
 
Nimependa wazo namba 6.
 
Kuwa makini. Wewe hapo ndio mradi...Utalia soon
 
Yaani unajifanya mwekezaji wa miradi mikubwa huna hata mentors wa kuksimamia na kukshauri,
Wenzako huwa wanatafuta mpaka kampuni zenye kutoa ushauri juu ya masuala ya uwekezaji!!
We unatuletea futuhi humu ndani, huna hela na wala hujaahidiwa hela. Na kama kweli basi hizo pesa za serikali ipo siku utakamatwa tu
 
Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…