Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #141
Hapana bossKuwa makini isije ikawa wale jamaa wa miradi unapambana unafungua kampuni, wananunua shea, wanataka uweke down payment, ukiweka wanapotea au wanakuja na stolen credit card kudeposit kwenye account yako...nina experience sana na hao jamaa wa hvo
Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sa

Sina Cha kusema zaidi nikutakie Kila la kheri katika proposal utakayoona Iko valuable and marketableHabarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
ahsante sana bossSina Cha kusema zaidi nikutakie Kila la kheri katika proposal utakayoona Iko valuable and marketable
Kuna tofauti kubwa kati ya government fund and individual funds. Serikali hawapeleki business plan/project proposal kwenye kuomba hela.Nipo makini boss, yote hayo unayoyasema nayafahamu vizuri. Lakini swala la kutafuta fund ndilo hata viongozi wetu wanafanya, miradi yote unayoona inaendelea ni wao wanatafuta hizo pesa.
Huyo jamaa atakuwa amekuja na chai ya kuburudisha kjukwaa. Nimemfuata inbox nimpatie maandiko ya miradi mikubwa ya umwagiliaji. Nona hata kutoa mawasiliano yake halisi ikwemo postal address, yeye ni nani na yupo wapi n.k amepiga chenga kiaina. anataka maandiko nitume kwa whatsaap.Iyo itie kwenye kilimo cha umwagiliaji plantations kwa lengo la kuilisha east africa na organic food kwa ajili ya kuexport ulaya na asia. Utanishukuru badae fanya research utanshukuru mida mida
achana nae halafu nilikuwa namchukulia positive sanaHuyo jamaa atakuwa amekuja na chai ya kuburudisha kjukwaa. Nimemfuata inbox nimpatie maandiko ya miradi mikubwa ya umwagiliaji. Nona hata kutoa mawasiliano yake halisi ikwemo postal address, yeye ni nani na yupo wapi n.k amepiga chenga kiaina. anataka maandiko nitume kwa whatsaap.
Kila la heri mkuu,Ahsante sana kwa ushauri mzuri naahidi kuufanyia kazi ushauri huu kwa asilimia zote 100.
Ahsante sanaKila la heri mkuu,
Nitafurahi Sana nikiona ukianzisha hiyo miradi, kama itawezekana utupe mrejesho
pia
Karibu mkuu,Ahsante sana kwa ushauri mzuri boss
Hivi unaijua bilioni 116?
Halafu amuuzie naniAnzisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo. Maeneo mazuri yenye upepo mzuri ni Makambako, Same, Karatu, Singida, Ilula (Iringa), n.k.
Unaenda kupigwa na m Nigeria we jamaaHabarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Hongera sana kwa andiko zuri. Ila nakuomba ondoa hofu na uoga boss.Usikute hyu anaotafta idea ya b110 ndo wale tunaopshanaga nao posta na madocment kbao shat limeloa jasho kwenye kola kaweka leso af kwapan kama kamwagiwa maj kachomekea af surual km mfuko wa gita na moka zmejaa vumbi zmeisha vsigino upande wa ndan ukikutan nao vjiwe vya kahawa mtaa wa agrey na pale benjamn wana mipango mij hao michong yao mikubwa isotmia π€£π€£
Yaani zaidi ya utajiri wa Rick Ross!Amekuambia dola milioni 50??
Uamb
Mfadhili yeye huwa na mlengo upi wa ufadhili wake.Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Usije ukamwona Rais Samia anapewa pesa na donors ukadhani ni rahisi tu. She is fighting. Ni vyema ungetumia muda kuuliza wenzako wanawakuta hao watu wapi na wanawapataje.Unaenda kupigwa na m Nigeria we jamaa