Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Kuwa makini isije ikawa wale jamaa wa miradi unapambana unafungua kampuni, wananunua shea, wanataka uweke down payment, ukiweka wanapotea au wanakuja na stolen credit card kudeposit kwenye account yako...nina experience sana na hao jamaa wa hvo
Hapana boss
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sa

Ahsanteni sana
Sina Cha kusema zaidi nikutakie Kila la kheri katika proposal utakayoona Iko valuable and marketable
 
Nipo makini boss, yote hayo unayoyasema nayafahamu vizuri. Lakini swala la kutafuta fund ndilo hata viongozi wetu wanafanya, miradi yote unayoona inaendelea ni wao wanatafuta hizo pesa.
Kuna tofauti kubwa kati ya government fund and individual funds. Serikali hawapeleki business plan/project proposal kwenye kuomba hela.
 
Iyo itie kwenye kilimo cha umwagiliaji plantations kwa lengo la kuilisha east africa na organic food kwa ajili ya kuexport ulaya na asia. Utanishukuru badae fanya research utanshukuru mida mida
Huyo jamaa atakuwa amekuja na chai ya kuburudisha kjukwaa. Nimemfuata inbox nimpatie maandiko ya miradi mikubwa ya umwagiliaji. Nona hata kutoa mawasiliano yake halisi ikwemo postal address, yeye ni nani na yupo wapi n.k amepiga chenga kiaina. anataka maandiko nitume kwa whatsaap.
 
achana nae halafu nilikuwa namchukulia positive sana
 
Ahsante sana kwa ushauri mzuri boss
Karibu mkuu,
kama hutojali nisaidie muongozo na taasisi ambazo naweza kupata fund can be grant au mkopo wa masharti nafuu,
Kuna kamradi kakubwa kidogo nimekapambania muda sana nilitamani nikafanye Kila halmashauri , I believe can bring economic change for large no youth
Kama hutuweza public basi pm me pls
 
Anzisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo. Maeneo mazuri yenye upepo mzuri ni Makambako, Same, Karatu, Singida, Ilula (Iringa), n.k.
 
Attachments

  • 183571E5-2ED4-40C4-B2CC-28190A9D908F.jpeg
    183571E5-2ED4-40C4-B2CC-28190A9D908F.jpeg
    27.4 KB · Views: 8
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Unaenda kupigwa na m Nigeria we jamaa
 
Usikute hyu anaotafta idea ya b110 ndo wale tunaopshanaga nao posta na madocment kbao shat limeloa jasho kwenye kola kaweka leso af kwapan kama kamwagiwa maj kachomekea af surual km mfuko wa gita na moka zmejaa vumbi zmeisha vsigino upande wa ndan ukikutan nao vjiwe vya kahawa mtaa wa agrey na pale benjamn wana mipango mij hao michong yao mikubwa isotmia 🤣🤣
 
Hongera sana kwa andiko zuri. Ila nakuomba ondoa hofu na uoga boss.

Sasa ipo hivi kama huwezi kupanga mradi wa billioni 110 basi wewe hufai hata kuwa mkuu wa wilaya.

Kwasababu hata mradi wa barabara hutoweza kuusimamia. Kwanza ukisikia tu billioni mia tano zimeelekezwa kwenye ofisi yako utazimia.

Billioni 110 ni namba kama namba zingine. Ukiifanyia bajeti unaweza kuta hata mia hutokula, yote itaaishia kwenye mradi.

Hivyo boss acha kujidharau jiamini hata kama huna kuitaja billioni 110 ni haki yako.

Mipango haitazami hali ya maisha ya mtafutaji wala haitazami aina ya mavazi ya mpangaji. Utafutaji huanza kwa mipango. Kama huwezi kupanga huwezi kufanikiwa.

Watu wote waliofeli ni kwasababu ya kukosa mipango madhubuti sio kwamba hawana pesa. Pesa ni kingine na mipango ni kitu kingine.

Ahsante boss
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Mfadhili yeye huwa na mlengo upi wa ufadhili wake.

Maeneo gani huyapa kipaumbele na yepi hayagusi kabisa?

Ukishapata japo. Njoo tukupe maujanja uweze kuandika mradi uwasaidie walengwa
 
Back
Top Bottom