Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

Mfadhili yeye huwa na mlengo upi wa ufadhili wake.

Maeneo gani huyapa kipaumbele na yepi hayagusi kabisa?

Ukishapata japo. Njoo tukupe maujanja uweze kuandika mradi uwasaidie walengwa
Hivi mtoa post ni dume au jike?
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Kama uko serious kweli nione inbox tuyajenge .... yaani unapeleka mradu wa elimu kabisa!

Great thinkers
 
Elimu

Sports academy kuna pesa nyingi hapo zitkuja many years to come

Technologia za kilimo

Miundo mbinu na usafirishaji.

Real estates tengeneza jiji kama lile la Akon yule msanii yaani utapiga pesa hatari.
 
Na kuliwa mliwe na pesa mkose
Nakwel kabsa huyu kaliwa bado kafichwa kwenye kivuli cha illusion ili aendelee kuliwa
Waza mirad tu likichoka kujipigia utaskia hamna mazingira mazur ya uwekezaj tanzania
 
Mwombe Mungu akupe kuwaza mambo yaliyomema. Mwombe Mungu sana. Mawazo haya ni dalili mbaya katika maisha yako. Mwisho wa kunukuu..
 
Kuna miradi miwili kila mmoja unaweza kutumia hizo fedha.
1.maji
2.umeme,
Karibu pm, nikuelekeze wapi Kuna hizo changamoto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Miaka ileee wakati sijajua matapeli vizuri, dah walinifanya niandike project proposal usiku na mchana Hadi mgongo ukauma! Just to realize kuwa ni matepeli! mbwa
 
Ahsante sana kwa ujumbe mzuri boss. Hakika mawazo yako yamejaa hekima sana.
 
Back
Top Bottom