Mbandue1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa
2. Dawa ya meno anaminya popote tu
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo
4. Inshort things are mess
Mjomba tika kijijini huyo🤣1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa
2. Dawa ya meno anaminya popote tu
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo
4. Inshort things are mess
Hayo mengine sawa. Ila hiyo namba 2 mbona kama ni issue ndogo tu. Maana dawa ikikaribia kuisha lazima aanzie chini kuiminya.1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
Hiyo namba mbili imafanya nikipata mgeni tumpe dawa yake ya meno maana inatia kinyaa alaf haikai vizuri kwenye rack yake1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
Maganda ya embe unapaswa kumuwekea kwenye bag lake maana akiondoka nayo yatakuwa ukumbusho kwake.1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
Vipi na kitandani, anapapara au ametulia?1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess