Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Sasa meru utapafananisha na maganzo au chato au runzewe?🤣🤣🤣baghosha🤣Bwana mbona mi mbeba tofari nimekulia home Meru najua haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa meru utapafananisha na maganzo au chato au runzewe?🤣🤣🤣baghosha🤣Bwana mbona mi mbeba tofari nimekulia home Meru najua haya
gentleman,1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
we mchokozi bwana 🤣🤣🤣Sasa meru utapafananisha na maganzo au chato au runzewe?🤣🤣🤣baghosha
Tangu siku hiyo mkuu nimejifunza sana. Siku hizi sicheki na Mtanzania. Sasa hivi nimenyooka sipindishi mambo ingawa wananiona nina roho mbaya.Hivi kwanini Ukweli huwa ni jambo gumu sana?!
Mfano hapa wewe ungemweleza Ukweli kulingana na makubaliano yenu nini kingeharibika au kupungua kwako? Sana sana wewe ungekua mtu bora zaidi.
Huyo jamaa sio mstarabu kabisa yani unkaribishwa kwa mtu unabeba na plus one 🤣Baadhi ya watz ni watu wa ajabu. Jamaa alinipigia simu anakuja kwenye interview ya kazi nikasema fresh njoo tu nakupokea hakuna shida. Eeehh naenda stendi kumpokea huyu rafiki yangu "Y" naona yuko na mtu mwingine "x" anatufata nyuma nyuma tunaingia kwenye gari naona "x" anaingia nauliza nani huyu ndo jamaa "Y" anasema huyu ni rafiki yangu. Namuuliza je na yeye "X" kaja kwenye interview? Jamaa anasema hapana yeye kaja kutembea tu.
Kufika home yule mwamba X aliyekuja kutembea kumbe anavuta sigara kama kichaaa. Mimi na moshi wa sigara hatupatani hata kidogo mwamba akiingia ndani nyumba nzima moshi unanuka.
Nikamuambia yule mwamba X mimi na sigara hatupatani naomba usivute sigara nyumbani kwangu mwamba akanielewa. Baada ya kufanya interview yule rafiki yangu Y akasema hawezi kuondoka hadi majibu yatoke nikasema fresh. Baada ya majibu kutoka akawa amekosa nafasi nikajua sasa anasepa heee naona siku na kwanza, ya pili, ya tatu wapo tu.
Nikaona yule mwamba Y mvuta fegi ameanza kufukuzia mwanamke nyumba ya jirani ambao tunaheshimiana sana nikaona wema utaniponza. Mimi nika deal na rafiki yangu tu. Nikamwambia sasa mimi nasafiri rafiki yangu akasema we nenda utatukuta tu mkuu ukirudi. Nikamwambia hapana kubaki mimi nasafiri kesho kutwa nyinyi mnaondoka kesho asubuhi mapema. Ndio ulikua mwisho wa mawasiliano.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mwelekeze kwa upole hayo ni mambo madogo yanafundishika.......1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
Mie mwenyewe nayajua hayo nabnimekulia Mo townwe mchokozi bwana 🤣🤣🤣
Mimi nilitoka familia masikini na Mimi nilisaidiwa na Ndugu na marafiki ila sikuwa na Akili kama matope za Hao X and Y Friends.Baadhi ya watz ni watu wa ajabu. Jamaa alinipigia simu anakuja kwenye interview ya kazi nikasema fresh njoo tu nakupokea hakuna shida. Eeehh naenda stendi kumpokea huyu rafiki yangu "Y" naona yuko na mtu mwingine "x" anatufata nyuma nyuma tunaingia kwenye gari naona "x" anaingia nauliza nani huyu ndo jamaa "Y" anasema huyu ni rafiki yangu. Namuuliza je na yeye "X" kaja kwenye interview? Jamaa anasema hapana yeye kaja kutembea tu.
Kufika home yule mwamba X aliyekuja kutembea kumbe anavuta sigara kama kichaaa. Mimi na moshi wa sigara hatupatani hata kidogo mwamba akiingia ndani nyumba nzima moshi unanuka.
Nikamuambia yule mwamba X mimi na sigara hatupatani naomba usivute sigara nyumbani kwangu mwamba akanielewa. Baada ya kufanya interview yule rafiki yangu Y akasema hawezi kuondoka hadi majibu yatoke nikasema fresh. Baada ya majibu kutoka akawa amekosa nafasi nikajua sasa anasepa heee naona siku na kwanza, ya pili, ya tatu wapo tu.
Nikaona yule mwamba Y mvuta fegi ameanza kufukuzia mwanamke nyumba ya jirani ambao tunaheshimiana sana nikaona wema utaniponza. Mimi nika deal na rafiki yangu tu. Nikamwambia sasa mimi nasafiri rafiki yangu akasema we nenda utatukuta tu mkuu ukirudi. Nikamwambia hapana kubaki mimi nasafiri kesho kutwa nyinyi mnaondoka kesho asubuhi mapema. Ndio ulikua mwisho wa mawasiliano.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Meru ni bush mkuu kuna sehemu kuna mikoa ina vijiji ndani ndani huko🤣Bwana mbona mi mbeba tofari nimekulia home Meru najua haya
kuminya dawa kuna ustaarabu wake pia, sisi tulifunzwa na Mama yetu toka udogoni kabisa..!!Ila hiyo namba mbili ni unamuonea tu jamani??? Yani unataka kumpa masharti ya namna ya kuminya dawa?
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
huyu akienda kwa Depal anafukuzwa😂1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
UJINGA,UMASKINI NA MARADHI NI NDUGU WA BABA NA MAMA MMOJA 😊😊😊1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na grass zipo.
4. Inshort things are mess
Wew ulibahatika kufunzwa na mama yako namna ya kuminya dawa, so utamlaumu vp yeye ambae hakufunzwa juu ya huo ustaarabu.kuminya dawa kuna ustaarabu wake pia, sisi tulifunzwa na Mama yetu toka udogoni kabisa..!!
Mfano mzuri, kwetu nyumbani tukiwasha jiko la mkaa huwa hatushiki mkaa na mikono toka utotoni tena Mama ndiye alitukataza..!
Huwa tuna gloves flani ngumu tunavaa ndiyo unaweka mkaa, Mimi till date kugusa mkaa ugenini nababaika sana..!! Niliwahi semwa ugenini mpaka nikakosa raha..!
Hivyo mara nyingi ni malezi tu..!!
Hana malezi huyo
Hivo vitu vinafundishwa utotoni
Wanangu tu wadogo wanatambua Hilo,itakuwa lijitu lizima liloanza kuota mvi.