Nimepata mgeni yuko rafu sana

Unajua kuna vitu vingine ni nature tu ya mtu mkuu.

We kwa jinsi jamaa alivyo elezea
Unazani hapo shida ni ushamba au shida ni ustaarabu wa mtu..?
Shida ni ushamba,we mtu mpk anafika miaka 20 hajawahi kutumia mswaki aje ajue jns ya kubinya Colgate..?

Kuna kipindi nilitembelea kijiji flan kwa ndugu zangu uko ndani ndani.Ilipofika mida ya msosi maji ya kunawa yakaletwa kwenye beseni ile kuja kufika zamu yng maji yashakua meusi tiiiii
 
Daaah hata kama ni ushamba..
Kuna mda hata wewe kama kitu ukijui utatulia tuu au utauliza ila sio kufanya as if unajua...
 
Hao watu wapo,sasa kama uko perfect sana lazima ulie...
 
mimi nilishawahi kupata mgeni, mwanaume mwenzangu, hadi leo sikumwelewa huyo jamaa. of course ni wa nchi nyingine hapahapa Africa so nilidhani labda ni tamaduni yao. yeye mkikaa sebuleni, akibanwa na ushuzi, mwanaume mzima, anautoa wote. nilivumilia mara ya kwanza, kesho tena mara kadhaa. uzalendo ukanishinda, nikwamwuliza kwanini unafanya hivi unajisikiaje kufanya hivyo mbele za watu. akaniambia akiubana ina side effects. nikamwambia basi uwe unakimbia kwenda chooni ukajitanue huko. imagine mwanaume miaka 28 anatoa ushuzi tena wa nguvu mmekaa sebuleni. tangu siku hiyo sihitaji mgeni, akija natafuta hotel/lodge siku tatu, namwambia zikiisha hizo utajitegemea. kwisha.
 
Kwa akili hizo na ndio maana alikosa hata Hiyo intavyuu!!
 
ariaTable manner nyingine ni pamoja na kijiko unapokoroga chai yako kisitoe mlio kwa kubamiza kuta za kikombe. Koroga kwa ku balance pale kati.

Chukueni hiyo.
Na pia usionje chai Kwa kijiko ulichokorogea sukari ili kuona kama sukari imekoa!!
 
Pengine anafanya kwa kutokujua utaratibu.. aelekezwe tu.
 
Huyo alikua anakupa signal kwamba 'jicho' linamuwasha Ila hukumuelewa tu.Alitaka huduma yako
 
Kweli mvumilie kidogo tu, mara nyingi ustaarabu wa mjini na kijijini ni tofauti, mtu akileta mambo ya kijijini town lazma iwe shida . Lakni vumilia siku kuu zitaisha atarudi kwao.
 
Jamaa anaingia kulala na viatu,anapanda navyo mpaka kitandani kisa amelewa.aiseh kaka nisameh tu huko ulipo najua umetusua Ila sijawahi kukukumbuka
 
Unamwambia ukweli tu kuwa hupendi tabia zake kua haziendani na maisha yenu hapo nyumbani, akichukia aondoke tu.
 
Nimerudi baada ya kuikuta hii habari jamiiforum WhatsApp chanel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…