Wekeza kwenye financial markets kama unataka utoke fasta.
Forex zinakutoa fasta, ukiweka hiyo 50M utakuwa unatengeneza kama 500USD kila siku.
Davion Delmonte Jr.
Ttzo ni ushuru[UllMkuu nakupongeza sana kwa ku save hiyo hela mkuu, itabidi uongeza hapo milion 30 ili ununue Scania Mende mkuu ,kwa Arusha unalaza milion 5 au nne kwa mwezi na gari haiendi mbali ni Korongoni au pale Kia kubeba chipping kaka ,ni 114 ,360 manual mkuu mimi najua mzungu mmoja anauzaga yuko Uingereza mkuu, inalipa sana kaka .
Mkuu naomba ufunguke zaidi maana nafuatilia huu uzi na ushauri wako umenikuna
GARI LA BIASHATA NDIO GARI GANI?
Unajua kilimo cha kusoma na kufanya ni tofauti kabisa.Ni kweli kilimo kinafaida kuu lakini lazima ukubali kuwa si faida ya fasta kama unavyo sisitiza.Wastaafu wote wameweza kuishi kwa kutegemea kilimo
Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Milionea au bilionea?Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa.
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Likipata ajali je si ndo mpunga wote utakua umeishia chini[UllMkuu nakupongeza sana kwa ku save hiyo hela mkuu, itabidi uongeza hapo milion 30 ili ununue Scania Mende mkuu ,kwa Arusha unalaza milion 5 au nne kwa mwezi na gari haiendi mbali ni Korongoni au pale Kia kubeba chipping kaka ,ni 114 ,360 manual mkuu mimi najua mzungu mmoja anauzaga yuko Uingereza mkuu, inalipa sana kaka .
Mohammed Dewji ni Billionare. As at 08-jan-2017 his net worth is $1.42 Billion (source: Forbes)Shule ya bure/bila ada[emoji116]
_________________________
Milionea= Millionaire ~having millions of dollars in cash +assets
Bilionea= Billionaire ~ " billion " " " " + "
hata ukiwa na madafu yetu inatakiwa u- convert to USD then utaingia kwenye hizo rank, virtually sidhani km kuna billionaire Tanzania.
Likipata ajali je si ndo mpunga wote utakua umeishia chini
Kwan kuwa millionaire inabid uwe na million ngap?