MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Hapana ndugu upo wrong kabisaMnasikitisha sana. Billion ni Billionea.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Google ndugu achana na ubishi...Hiphop artist wa kwanza bilionea ni dr. Dree angalia anamiliki kias gani na kwanini asiitwe trilioneaHapana ndugu upo wrong kabisa
mkuu TOL kuna shida gani?Wekeza pia kwenye hisa mojawapo huku Tz kama Twiga, UTT, ziko nyingi utapata faida. Ila usijikite kuwekezaTOL utajuta.
Hivi hiyo coaster ni ya kununua kwa mtu aliyeshindwa biashara, yard au nje!!? Maana kwa bei ya Coaster labda kama ni hizi za mchina au nissan civilian...nunua coaster uanze biashara ya daladala na pesa zinazobaki wekeza katika kilimo...
Wanaokushauri kununua gari sijui coaster au daladala wanataka kukuongezea pressure bure maana hujui uko barabarani kitatokea nini na hawa madereva wetu. Maana dereva hasiposababisha wengine wanaweza kumsababishia ajari na ukaishia kuwa na scrapers. Kilimo ndgu yangu yataka moyo maana unategemea Baraka za mwenyezi Mungu ili mvua inyeshe na wapi utapata mashamba. nayo ni pressure nyingine na pia hata ukilima je soko unalo? ili kuuza madalali wanajua kucheza na mkulima na kujua jinsi ya kumlalia na kuishia umepata hasara na mwaka huu tumeshuudia watu wamelima nyanya zimeishia kuozea shambani. Nyumba nayo biashara yake ni kizungumkuti maana utegemee hela za mpangaji kila mwezi kurudisha mtaji wako ni kizungu mkuti. Labda ujenge Guest nzuri kidogo italipa lakini gharama zake si 50m.
Kidogo labda aliyesema ufugaji wa samaki na kuku japo sina experience nao.
Biashara mpaka uwe na uhakika wa shindano la soko