Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

kuwa millionaire tafsiri yake nikuwa na kuanzia shilingi million mbili na kuendelea, kwa minajili hiyo basi wewe tayari ni millionaire, labda sasa utuambie unataka kuwa millionaire wa aina gani?
 
Njoo nikupe Deal ya kutengeneza ''Brickets'' kwa kutumia takataka.....Brickets ni badala ya mkaa.

cutcaster-photo-100599197-charcoal-brickets.jpg
 
Il faut que tu revien en Tanzanie si tu na pas les affaires a faire en France et commence avec l'agricuture des frites
to faire multiplie les chiffres comme jamais,Merci mon gar
 
Chukua hii kama utaona inafaa....

Fanya biashara ya mbao mkuu, nunua mbao border ya Tanzania na Mozambique njoo uuze dar.
Baada ya kulipa vibali vyote vinavyohitajika mbao(mninga) mpaka inafika sokoni (dar) itakuwa imekula 32k kwa kila moja.
Bia ya jumla sokoni sasa hivi ni 46k-50k

Sasa assume umetumia 10m kwa ajili ya vibali imebaki 40m...

30m/32k = 1250 maana yake utapata mbao 1250

1250*14000= 17.5m na hii ndio faida utakayopata,

Mwalimu wangu wa biashara aliniambia ukiwa unafanya calculations za biashara faida utayokisia kuipata igawe kwa mbili utachopata kama ukiona hakikutoshi acha hiyo biashara.

Sasa kwenye hii biashara faida yake tunaAssume 17.5m/2 = 8.75m

Kwa hiyo ni hakika utapata faida 8.75m kwa mwezi (Ingawa unaweza ukanunua/uza mara mbili kwa mwezi)

Kama itakufaa chukua kama haikufai pia ruksa kuiacha.

Angalizo:
Usifanye hii biashara ILLEGALLY
 
wewe nakuona kama mtu mzalendo, njoo uwekeze nchini mkuu, kuna fursa nyingi, njoo, uwekeze kwenye lendingi mkuu, milioni 50, zinatosha au km huna experience nayo njoo ofisini kwetu tunaingia contract nzuri kutokana na fedha yako kila mwezi tunakulipa 10% ya mtaji wako, dheni after 24 month unarudishiwa fedha yako km ilivyo wakati huo ndani ya kipindi chote kila mwezi ulikuwa unakula 10% sisi tunafnya biashara ya lending mkuu kwa muda wa miaka7 sasa
 
nunua coaster uanze biashara ya daladala na pesa zinazobaki wekeza katika kilimo...
Hivi hiyo coaster ni ya kununua kwa mtu aliyeshindwa biashara, yard au nje!!? Maana kwa bei ya Coaster labda kama ni hizi za mchina au nissan civilian...

Ila ya mjapan inazidi sana kiasi alichoacho.
 
Wanaokushauri kununua gari sijui coaster au daladala wanataka kukuongezea pressure bure maana hujui uko barabarani kitatokea nini na hawa madereva wetu. Maana dereva hasiposababisha wengine wanaweza kumsababishia ajari na ukaishia kuwa na scrapers. Kilimo ndgu yangu yataka moyo maana unategemea Baraka za mwenyezi Mungu ili mvua inyeshe na wapi utapata mashamba. nayo ni pressure nyingine na pia hata ukilima je soko unalo? ili kuuza madalali wanajua kucheza na mkulima na kujua jinsi ya kumlalia na kuishia umepata hasara na mwaka huu tumeshuudia watu wamelima nyanya zimeishia kuozea shambani. Nyumba nayo biashara yake ni kizungumkuti maana utegemee hela za mpangaji kila mwezi kurudisha mtaji wako ni kizungu mkuti. Labda ujenge Guest nzuri kidogo italipa lakini gharama zake si 50m.
Kidogo labda aliyesema ufugaji wa samaki na kuku japo sina experience nao.
Biashara mpaka uwe na uhakika wa shindano la soko

Punguza negative attitudes kwenye kila kitu! Hakuna biashara isiyokuwa na changamoto, hata huo ufugaji wa kuku mimi nimewahi kufanya wakafa kwa ugonjwa wa Gumboro, lakini siwezi kusema hiyo hailipi kwasababu kuna watu wanatengeneza hela kila uchwao
 
Back
Top Bottom