Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
4,545
Reaction score
10,426
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
 
Wewe 35yrs na 39yrs tofauti 4yrs, sa hapo ushangazi unaupata wapi mjombaz?
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Mkuu kabla hujahamia kwa huyo mshangazi umeshawahi kuisikia TUKUSA? Maana naona upo kwenye hatihati ya kuliwa TUTUSA..
 
Ma
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Majanga hayooo oho shtuka ww,,maradhi mengi saiv
 
Nyie wote ni vibabu
 
Ww 😂dogo bado mbichi achana na ujinga kama huo tegemea mwanamke uliye mzidi miaka huo ni udueazi sana kijana
 
Back
Top Bottom