Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

35 kwa 39 hapo wote nyie ni wazee...kaka unajiona bado mdogo?? Hapo ni Limjomba na Mshangazi ila sasa Mshangazi amekuzidi uwezo hivyo wewe ni Limjomba Limariooo
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
39 hajawahi olewa nenda utajua kwanini yupo 39 hajaolewa hadi leo .... utajua kwanini wenzio walimuacha
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Huyo ni rika moja na wewe sio mshangazi acha kunzeesha dada wa watu
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
The fun is a fucking anesthetic.

It numbs you to the reality of what you're dealing with.

You think you're with an experienced, mature woman.
You're with a survivor of her own bad decisions.
A veteran of wars she started and lost.
She is single at her age for a fucking reason.
The market already rendered its verdict when she was in her prime.
The men she truly wanted, the alphas she chased, didn't choose her for the long term.
They used her up and passed her on.
Now the carousel is groaning to a halt, and she's grabbing desperately for the last available horse.
You are that horse.
You are not her first choice. You are her last chance.
Her "experience" isn't wisdom. It's scar tissue.
It's a collection of unresolved traumas and toxic patterns she'll paint as depth.
She's not looking for a partner.
She's looking for a manager for her decline
A soft place to land after a lifetime of hard fucking miles.
Enjoy the fun.
But know you are the epilogue of her story, not the main event.
You are the beta provider she settles for when the alpha she wanted is raising a family with a younger, better woman.
Don't be the janitor for her past.
 
Haki nimecheka...yaani mtu wa miaka 39 unamuita mshangazi!? Na wewe ukiwa na miaka 35!?
Huoni aibu mzee!? Kwa umri wako labda uwe na wa mmama wa miaka 60-70 ndo itamuita mshangazi..
Acha ujinga wewe
 
Ahahaha
 
Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19

Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara

Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake

Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Kitu kikubwa si nani mkubwa kwa umri, bali mapenzi, heshima na malengo ya pamoja.

Mifano ya mahusiano yaliyo mfano mzuri ni;
Gabrielle Union (1972) & Dwyane Wade (1982), Gabrielle ni mkubwa kwa miaka 10, lakini ndoa yao (tangu 2014) imekuwa mfano wa kuigwa.

Yet hakuna mshangazi (39) kwako maana we mwenyewe (35) tayr kijeba!
 
Huyo ni age mate wako mkuu ruka nae tu na wala sio mshangazi,
Mshangazi lazima akuzidi umri kuanzia miaka 15 au 20.
 
Siyo mshangazi huyo,,,mshangazi tofauti lazima iwe miaka 10 kwenda juu
 
Ananiambia yeye na mzazi mwenzie wameachana miaka mingi mno toka mtoto ana miwili ni kama miaka 17 hivi imepita
Bado na ww utakuwa miongoni mwa wababa walezi wa huyo mtoto single maza hanaga bwana mmoja
 
Huyo kwako sio mshangazi. Wewe mshangazi mtu m'meachana miaka 4?
 
Back
Top Bottom